Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,058
Ama kweli kutoa ni moyo na wala so utajili,hawa ndo wasanii tunao wataka,awe kioo cha jamii haswa.
Nawasilisha hoja
Nawasilisha hoja
Mandojo ndo nani kwanzaAma kweli kutoa ni moyo na wala so utajili,hawa ndo wasanii tunao wataka,awe kioo cha jamii haswa.
Nawasilisha hoja
We benson umevurugwa... Kaandike vizur afuu urudi... Domo ampe milion 6 mtu bureeeAma kweli kutoa ni moyo na wala so utajili,hawa ndo wasanii tunao wataka,awe kioo cha jamii haswa.
Nawasilisha hoja
Msanii wa domokaya groupMandojo ndo nani kwanza
Ujui kusoma niniEleweka mzee... Manina.
Mandojo alivunjiwa nyumba yake,hana mahali pa kuwish ndo wanasema kapewa 6m na domoWe benson umevurugwa... Kaandike vizur afuu urudi... Domo ampe milion 6 mtu bureee
naona umerudi likizoMandojo ndo nani kwanza