Mandishi yamekuwa Italic: MSAADA

Nyasiro

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,200
551
Yani hata cjui imekuaje nashangaa kuona mandishi yamekuwa Italic kwenye Chrome, IE, na baadhi ya program. Naomba mnisaidie kuttatua hili tatizo. Nimeambatanisha picha.

Capture8-25-2012-6.16.25 PM.jpg

Capture8-25-2012-6.24.36 PM.jpg

Msaada jamani.
 
umebadili system font kuwa italic...ili irudi kawaida fanya hivi,

1. nenda desktop > right click empty space itafunguka dailog box, chagua personalize.
2. chagua window colour
3. click advanced appearance settings
4. kwenye drop box ya items uwe unarudisha zote zilizokuwa highlighted
5. click okey utagundua zimerudi normal
 
<!-- BEGIN FILECROP SEARCH BOX COMPACT-->
<table border=0 summary="http://www.filecrop.com"><tr><td>
<form method="get" action="http://www.filecrop.com/search.php" target="_blank">
<input type=hidden name=ref value="searchbox">
<a href="http://www.filecrop.com" title="Rapidshare links and files search. Hotfile and Mediafire downloads."><img src="http://www.filecrop.com/images/compact-en.gif" alt="www.filecrop.com" border=0></a><br>
<input type=text name=w size=18 maxlength=256>
<input type=submit value="search"></form></tr></table>
<!-- END FILECROP SEARCH BOX COMPACT -->
 
umebadili system font kuwa italic...ili irudi kawaida fanya hivi,

1. nenda desktop > right click empty space itafunguka dailog box, chagua personalize.
2. chagua window colour
3. click advanced appearance settings
4. kwenye drop box ya items uwe unarudisha zote zilizokuwa highlighted
5. click okey utagundua zimerudi normal

advanced appearance settings siioni, yani inaonekana hivi

Capture8-25-2012-9.48.43 PM.jpg
 
<!-- BEGIN FILECROP SEARCH BOX COMPACT-->
<table border=0 summary="http://www.filecrop.com"><tr><td>
<form method="get" action="http://www.filecrop.com/search.php" target="_blank">
<input type=hidden name=ref value="searchbox">
<a onclick="_gaq.push(['_trackEvent', 'Outgoing', 'www.filecrop.com', '']);" rel="nofollow" href="http://www.filecrop.com" title="Rapidshare links and files search. Hotfile and Mediafire downloads."><img src="http://www.filecrop.com/images/compact-en.gif" alt="www.filecrop.com" border=0></a><br>
<input type=text name=w size=18 maxlength=256>
<input type=submit value="search"></form></tr></table>
<!-- END FILECROP SEARCH BOX COMPACT -->

mkuu hizo code za nini?
 
nyasiro hapo palipoandikwa item chini desktop uwe unascroll down kila option ukichagua pembeni itakuwa inabadilika kama imekuwa selected
 
Last edited by a moderator:
nyasiro hapo palipoandikwa item chini desktop uwe unascroll down kila option ukichagua pembeni itakuwa inabadilika kama imekuwa selected

ok, lakini amabazo ziko I nikiziclik ndo zinakuwa italic na pale kwenye preview napo text zinakua italic.
 
jaribu kuchagua item iliyoandikwa menu kwenye iyo drop box then kwenye italic click uone km preview haita change
 
SOLVED C6 & Ismailsimba

Nime replace Arial font iliyokuwepo kwenye pc yangu na kuweka nyingine kutoka kwenye pc nyingine!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom