Maskini chuo changu!!, Tatizo ni siasa ndio kinaharibu hichi chuo, wataalam wanao wazuri sana wa kurekebisha vizuri sana miundombinu ya chuo lakini loh! wapo tu nao wanahangaika huku mitaani kama akina sisi na wanafanya vizuri!.
Utashangaa hapo chuo hakuna maji mwezi mzima, vyooni kuchafu utadhani vyoo vya manzese sokoni lakini CoET ipo pale wameshindwa hata kubuni njia mbalimbali za kuvuna maji wakati chuo kina nafasi kubwa sana ya kufanya ubunifu wowote!!. Kwenye miti kweli hakuna wajenzi!. Walimu wa vyuo nao wanahangaika tu na consultancy za mitaani.