Mandela sio mkombozi wa South Africa

Mandela sio mkombozi wa South Africa

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
15,157
Reaction score
28,766
Kuna habari imekuwa ikienea katika nyanja za habari ambapo mwandishi mmoja wa Bondeni amekuwa akidai watu wanamkuza Mandela kuliko anavyostahili kwamba yeye ndie aliyewakomboa Wa-South kutoka ubaguzi. Mwandishi huyo anadai kuwa ukweli ni kwamba Mandela ndiye aliekombolewa na Wa-South kutoka kifungoni.

Kuna wakati niliweka thread humu kwamba nikimlinganisha Nyerere na Mandela, naona kama Nyerere alikuwa na mchango mkubwa zaidi kwa uhuru wa South Africa kuliko Mandela, japo historia haielezi hivi (angalia post inayofuatia).

I was not liberated by Mandela

The Mandelafication of the Struggle against apartheid is not by accident but by design, writes Malaika wa Azania.

‘I am not a liberator. Liberators do not exist. The people liberate themselves." – Ernesto "Che" Guevara, Argentine-born revolutionary.

The narrative about how former president Nelson Mandela liberated South Africa from the clutches of the apartheid has been inculcated deeply into the minds of those of us born in the post-apartheid era.

Those of us who started primary school in the townships in the late 1990s have a vivid memory of how our teachers suffocated us in propaganda about Mandela, reminding us daily about how we were able to study without fear of police vans swooping on the townships to disrupt schooling.

Those of us who later attended multiracial schools in the suburbs have a vivid memory of how teachers would consistently remind us that in the not-too-distant past, we never would have been seated next to our white or Indian classmates. We were told it was because of Mandela that we were able to play on the same playgrounds with other races.

This did not end when we exited the school gates. At home, we were reminded daily how lucky we were to be born in a democratic dispensation – thanks to Mandela.

Our pastors at church called him a messenger of God sent to liberate his people. The media amplified his messiah status. White capital made billions on the "Mandela brand".

And, of course, the ANC-led government capitalised greatly on this deification of Mandela. So it's not difficult to understand why today, so many people, including my generation, have elevated the former president to a deity.

The Mandelafication of our country was not an event, but a deliberate process of socialisation spanning decades.

All agencies of socialisation in our country have significantly contributed to the legitimisation of this narrative of Mandela, the greatest liberator. It is a narrative that I believe must be challenged.

One of the biggest dangers with the deification of Mandela is it inherently distorts the genesis of our history. Mandela is a product of the ANC, which he joined in 1944 – the year in which the ANC Youth League was founded.

There is a tendency to speak of our liberation struggle as though it began in 1912 when the ANC was founded. This is why it's so easy to believe an ANC leader is our liberator. The truth is that our struggle for liberation began centuries before the birth of the ANC. As far back as the 1700s, Cape Frontier Wars were fought with the Boers.

These wars were waged due to colonial expansion into the Eastern Cape, which in turn dispossessed Xhosa and Khoikhoi people of their land and cattle among other things. Across South Africa, similar wars of resistance against settler colonialism were fought.

The liberation history of our country began long before the ANC was born. Long before there was ever a Mandela. Unfortunately, because this history has been subordinated, the names of its heroes remain unsung.

Another big danger about the deification of Mandela is that it distorts history. When Mandela is posited as the liberator, something atrocious happens: the people of South Africa are reduced to mere decorations in our liberation history. The truth is that they played a far more significant role.

While our liberation struggle history began with the arrival of settlers as far back as the 1600s, it peaked in 20th century. This was due to a number of reasons, one of which was the wave of resistance and liberation struggles that swept through the African continent.

By the 20th century, nearly all African countries were engaged in the battle for the soul of their sovereignty. South Africa was also caught up in this wave.

In 1960, the country entered into a fully-fledged armed struggle. The catalyst was the massacre of anti-pass campaigners in Sharpeville and Langa. The campaign was led by the Pan-Africanist Congress (PAC) under the leadership of Robert Mangaliso Sobukwe, one of the greatest revolutionaries.

Shortly after this, the liberation movements were banned. Political activists were incarcerated. Some fled into exile and others were forced to go underground.

In 1963, the Rivonia Trial began and a few months later Mandela, along with other activists, was sentenced to life imprisonment. He would be released almost three decades later.

While Mandela was languishing in prison, ordinary citizens intensified the Struggle. Workers and students in particular waged a relentless struggle against the system.

In 1976 it was students who brought the apartheid regime to its knees. They were not trained by Umkhonto we Sizwe (MK), they were not ANC members, but students inspired by the Black Consciousness philosophy articulated a decade earlier by another great revolutionary, Steve Biko.

Along with ordinary South Africans and political activists, the youngsters set in motion the wheels of a vehicle that would ultimately lead to our liberation.

These same ordinary South Africans organised campaigns aimed at putting pressure on the regime to free political prisoners, Mandela included. They mobilised the international community to join in the Struggle. All their efforts led to a negotiated settlement and a democratic dispensation.

The reality is that ordinary South Africans liberated Mandela in more ways than Mandela liberated them. They fought when he was in prison. They campaigned for his release. And they voted the ANC into power. They are the true liberators of my generation.

Don't misunderstand me: Mandela was undeniably one of the most important figures in the country's liberation history. He became a symbol of our struggle – by deliberate design. But he is not a liberator of black people. It is both ahistoric and apolitical to appropriate the liberation of millions of people to a single individual, especially one who spent most of his activist years incarcerated as ordinary people were continuing the Struggle and resisting their own oppression.

I am tired of being told I owe eternal gratitude for my freedom (however little it is) to a single man, because I do not. Mandela did not give me freedom – it was never his to give. My freedom is a result of the serving, sacrificing and suffering of many people, most of whom history books don't mention.

The narrative that Mandela is the liberator rather than one of the many contributors to our Struggle is vulgar. It is vulgar not only because it is rooted in falsification, but because it threatens to rewrite history. No greater injustice can be committed than to deny future generations the right to learn about their true history – a weapon needed for their own liberation.

My generation grew up being fed propaganda. We grew up being taught an ahistoric history. May this injustice not continue, one I don't wish upon my own children.

Source: The Sunday Independent
 
Mandela anakuzwa kuliko inavyostahili?

Namheshimu sana Mandela, lakini nimekuwa nikijiuliza sana, hivi ni nini hasa kinachofanya Mandela akuzwe sana duniani? Mara nyingi naona Mandela amekuzwa kulikoanavyostahili. Hivi ni lipi hasa la ajabu sana alilowafanyia Wa-South Africa,kuwapa uraisi wa mtu mweusi? Kwanza hata hayo mazungumzo ya kupata raisi mweusi Afrika Kusini Mandela hakushiriki kiasi hicho, walishiriki wengine.

Hebu linganisha Nyerere na Mandela katika kuchangia ukombozi wa demokrasia Afrika Kusini. Maoni yangu ni kwamba Nyerere alikuwa na mchango mkubwa kwa ukombozi wa Afrika Kusini kuliko hata Mandela. Kumbuka Nyerere ndie aliyewashawishi ANC na wengineo AfrikaKusini wafanye mazungumzo na Makaburu, mazungumzo yaliyozaa demokrasia Afrika Kusini.In fact baadhi ya ANC walimtukana Nyerere alipowaambia wakae na kuzungumza naMakaburu. Kumbuka pia Nyerere ndiye alieanzisha kampeni iliyoitwa "boycott South Africa" kwa kampuni za kimataifa kutofanya biashara na Afrika kusiniya Makaburu.

Nyerere huyo huyo ndie aliyesababisha Afrika Kusini iondolewe kwenyeCommonwealth, jambo ambalo Makaburu waliona ni pigo kubwa sana. Nyerere ndiealiyetoa ardhi kwa kambi za ukombozi wa kusini mwa Afrika ili eneo lote lakusini likombolewe, kutia ndani kambi za wapigania uhuru za ANC, PAC (SouthAfrica), FRELIMO (Msumbiji), SWAPO (Namibia), ZAPU, ZANU-PF (Zimbabwe) na MPLA(Angola). Nyerere alikuwa akitoa ndege kwenda kuwatorosha wapigania uhuru tokaSouth Afrika, ambapo kuna ndege moja ya East African Airways ililipuliwa ikiwakwenye hiyo mission. Nyerere ndiye alikuwa mstari wa mbele kuzuia mataifa ya nje kuwauzia Makaburu silaha akisema silaha hizo zilitumika dhidi ya watu weusi.

Halafu Mandela huyu, ziara zake za kwanza baada ya Afrika kusini kupata uhuruhaikuwa kuzitembelea nchi zilizoisaidia Afrika Kusini kupata demokrasia, balialienda Ulaya. Alipotaka kufanya ziara ya pili Ulaya kabla ya kuzitembelea nchizilizowasaidia alikataliwa na baadhi ya watu ndani ya ANC. Mandela alidai etianaenda Ulaya kuwaelimisha kwa nini ilikuwa muhimu yeye aachiwe kwa sababu nchikama Uingereza na Marekani waliwashauri Makaburu wasimwachie huru.

Suala la msamaha kwa yale Makaburu waliyowafanyia Wazalendo halikuwa laMandela, bali sehemu ya makubaliano katika mazungumzo kati ya Makaburu na ANC.

Basi hadi leo nashindwa kuelewa ni nini hasa kinachofanya Mandela akuzwe kiasihiki. Kwa sababu alifungwa? Mbona wapo wengi tu waliofungwa nae hatusikii wakivuma kama Mandela?

Binafsi hata huwa inanisikitisha na kuniuma sana kwamba South Afrika huwa haionyeshi appreciation kamili kwa mchango alioufanya Nyerere kwa ukombozi wa nchi yao. Leo hii vijana wa South Afrika hawamjui Nyerere, wanajua uhuru wao uliletwa na Mandela tu. Nasikia kuna barabara pale Durban inaitwa Nyerere, kweli hiyo ndiyo shukurani ya Afrika Kusini kwa Nyerere? Tanzania tunaonekana kumuenzi Mandela mara nyingi zaidi ya South Afrika wanavyomuenzi Nyerere, tumetoa majina ya Mandela kwa barabara muhimu, viwanja nk, kama vile wao ndio waliotusaidia sisi. Kwa nini? Nasikitika sana. Kweli tenda wema uende zako.
 
Mandela na Nyerere ni Mashariki na Magharibi, hawafanani kwa mtazamo huo wa uadilifu na kutambua mchango wa wengine katika kupigania uhuru wa nchi zao.
Historia ya Uhuru wa Tanganyika inayosomeshwa katika shule zenu imemkuza Nyerere kupita kiasi, (exaggerations) ingawa ametoa mchango wake lakini siyo kiasi hicho kinachosomeshwa, Nyerere amejiunga katika mapambano ya kupigania uhuru wakati ambao bado miaka michache tu Tanganyika iwe huru. Kuanzia mapema miaka ya 1950s alipojiunga na TAA ambayo ilikuwa ndiyo chama cha vuguvugu la Uhuru, kikiongozwa na Wazee wa Dar Es Salaam maarufu kutoka ukoo wa Sykes na Azizi Ally. Chama hiki kiliundwa mwaka 1929 wakati huo Nyerere akiwa na miaka 8 tu hata lugha ya Kiswahili hajuwi (soma We Must Run While They Walk, by W. E .Smith ambaye ameleza kuwa Nyerere alijifundisha Kiswahili akiwa na Umri wa Miaka 12 tu). Wakati huo TAA ilikuwa ikipigania ustawi wa maisha ya Mwafrika wa Tanganyika na mpaka mwaka 1950 wakati Nyerere anajiunga nayo TAA ilikuwa imeshaenea karibu majimbo yote ya Tanganyika. Hii maana yake kulikuwa kuna watu wamefanya kazi hiyo kubwa ya harakati katika wakati ambao hakuna simu za viganjani, wala barabara na gari za uhakika za kusafiri katika nyika, Nyerere alikuta mtandao huo wa vugu vugu la ukombozi upo tayari wakati wanageuza TAA kutoka vugu vugu la ukombozi kuwa TANU chama cha siasa cha uhuru (ingawa kwa bahati mbaya au kwa makusudi mchango wa watu hao muhimu waliofanikisha harakati za vugu vugu la uhuru wa Tanganyika hautajwi wala haupewi umuhimu wowote).
Mandela mwenyewe yupo Honest katika hili, kinyume na anavyoeleza huyo mwandishi, ukisoma kitabu chake "Long Walk to Freedom", hajajikweza kama kila kitu kafanya yeye, ametambuwa michango ya watu zaidi ya mia moja ambao walifanya makubwa sana katika harakati za ukombozi wa Afrika ya Kusini kuliko yeye na ambao ukenda A.Kusini majina na michango yao inaenziwa kama anavyoenziwa Mandela. Ilikuwa ni Mkakati wa ANC tokea ilipoundwa mwaka 1912, miaka sita kabla ya kuzaliwa Mandela, kuwa chama hicho hakitamfanya mtu yoyote kuwa mtukufu (cult personality), kama ambavyo CCM imefanya kwa Nyerere na kama wafanyavyo madikteta wengine wa Afrika (soma barua ya Thabo Mbeki kwa Rais wa ANC, Jacob Zuma, wakati alipojiuzulu urais 2008). Mandela alikuwa ni alama ya mapambano yenyewe ya ubaguzi wa Rangi, sambamba na Waafrika wengine wengi amabo yeye mwenyewe Mandela amewatambua katika maandishi yake mwenyewe, jambo ambalo Nyerere hajalifanya.
Mandela hakufungwa peke yake Robben Island, alifungwa na wenzake na wakati yupo gerezani harakati za kudai uhuru na kupinga ubaguzi wa rangi zikifanywa kwa jina lake na wenzake. Hata Kenya hali ilikuwa kama hivyo, Mzee Jomo Kenyatta anaanza harakati za uhuru si muda mrefu mwaka 1952 alikamwata na kuwekwa gerezani kwa miaka 10, lakini kipindi chote hicho harakati za uhuru zikiendelea kwa jina lake, na huku madai ya wapigania uhuru waliokuwa nje, kama ilvyokuwa kuwa Afrika ya Kusini, yakitaka kuachiwa kwa kiongozi wao huyo kama sehemu ya kuelekea uhuru wa Kenya na alipoachiwa mwaka 1961, akawa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Kenya Uhuru, the same to Mandela na hilo wamelifanya Wakenya wenyewe kama walivyofanya S.Africans.
 
Naona umeenda nje ya topic kidogo kwa chuki zako wazi juu ya nyerere. Hapa tunaongelea mchango wa mandela africa kusini na sio nyerere Tanzania.
Na pia labda nikufahamishe tu Nyerere alikuwa ni kiongozi mkuu wa nchi then. Uhuru wa nchi haukuja sababu ya Nyerere pekee yake,yeye mwenywe alishasemaga mara nyingi ni vipi alikuwa na wazee mbalimbali na watu huko na huko katika harakati za uhuru. Uhuru hawezi kuletwa na mtu moja hata siku moja.
Zaidi,kuwa kiongozi wa wale anaowangoza,ndio maana anapata credit.

Ni sawa useme Kikwete amejenga barabara.haimanishi barabara haikuwepo kabla wala haimanishi alichukua sururunna kuchimba barabara ila jitihada zake kama kiongoI ndio maana anastahili sifa hizo.

Mwisho,Mwl Nyerere ni watu hadimu sana. Huwezi kumfananisha na mandela hata siku moja katika kila nyanja a hasa kupigania uhuru wa mwafrica.
 
Nyerere= Ngassa na Mandela=Messi
 
Naona umeenda nje ya topic kidogo kwa chuki zako wazi juu ya nyerere.
Na pia labda nikufahamishe tu Nyerere alikuwa ni kiongozi mkuu wa nchi then. Uhuru wa nchi haukuja sababu ya Nyerere pekee yake,yeye mwenywe alishasemaga mara nyingi ni vipi alikuwa na wazee mbalimbali na watu huko na huko katika harakati za uhuru. Uhuru hawezi kuletwa na mtu moja hata siku moja.
Zaidi,kuwa kiongozi wa wale anaowangoza,ndio maana anapata credit.

Ni sawa useme Kikwete amejenga barabara.haimanishi barabara haikuwepo kabla wala haimanishi alichukua sururunna kuchimba barabara ila jitihada zake kama kiongoI ndio maana anastahili sifa hizo.

Mwisho,Mwl Nyerere ni watu hadimu sana. Huwezi kumfananisha na mandela hata siku moja katika kila nyanja a hasa kupigania uhuru wa mwafrica.

kwanza usiwe mshabiki, ongea kwa vigezo na vituo, mm sikubeza hata kidogo mchango wa Nyarere katika mapambano ya uhuru wa Tanganyika. Najua kama mada ni mchango wa Mandela katika kupigania uhuru ikidaiwa kuwa amechukuwa credit kubwa wakati siyo yeye aliyeleta uhuru wa Afrika ya Kusini, hoja yangu mimi ni kuwa ingakuwa assertation hiyo imeelekea kwa Nyerere (kuna mtu alimtaja hap juu) basi ingakuea sawa kwa kuwa Nyerere si katika viongozi ambao wamekuwa honest kutambuwa mchango wa wenzao katika mapambano ya uhuru, unaowasikia ni hao hao 'waliokuwa loyal kupitiliza kwake, wakatajwa pamoja na yeye, ambao ni wachache, wengi hawatajwi na mchago wao ulikuwa muhimu sana kuliko hao wanaotajwa akiwamo yeye. Labda nikupe mfano mdogo sana tu, mchukuwe Mwalimu Kihere wa Tanga, mtu huyu alikuwa muhimu katika kufanikisha safari ya Nyerere kwenda New York, kuomba UN itowe uhuru kwa Tanganyika kujitawala yenyewe, kama Mwalimu Kihere angeshindwa kufikisha 'mzigo' kutoka Tanga hadi Dar es Salaam, chini ya upekuzi mkali wa wakoloni, basi safari hiyo isingewezekana (huo mfano mdogo tu), mtu huyu hakuna pahala anatambuliwa mchango wake huo muhimu tu. Kuelezwa tu kuwa "wazee mbali mbali" wakati wanajulikana hiyo siyo kuitendea haki historia ya nchi hii, na hapo ndipo penye tofauti kati ya Nyerere na Mandela ambaye amewatambua watu karibu wote waliosaidiana naye katka mapambano magumu ya kupinga ubaguzi wa rangi. Unachokionyesha wewe ni kimoja kuwa unadhani utukufu wote aliokuwa nao Nyerere au anaopewa, kana kwamba hakuwa akifanya makosa, jambo ambalo siyo kweli, yapo mazuri mengi Nyerere amefanya yanastahili kuenziwa na kudumishwa, na yapo mabaya kama binaadamu amefanya, yanahitaji kusemwa ili viongozi wanaokuja warekebishe, Mkuu usiwafanye watu kama malaika, utageuka wewe kuwa shetani, maana makosa yao utaona ni sahihi.

Kwa haraka ni rahisi mtu kukutambua mapema sana. Maandishi yako yanakuvua nguo na kukuonyesha ulivyo
 
Nadhan mandela anaheshimiwa zaidi kwa sbb ya msimamo wake aliounesha kwenye kesi yake iliyompelekea kufungwa. Kwambaa anaamini katika demokrasia. Lakin katika hali halisi...jamii huwa inahitaji mtu wa kumuweka kama role model...kitu ambacho si kibaya. Kitu kibaya ni kuwaficha wengine ambao role yao kwenye mchakato wa mambo ulikuwa muhimu sana kiasi kwamba bila misiimamo yao dhabiti hyuo role model asingefanikiwa. My point ni kwamba historia inatakiwa iwatendee haki kwa kuwatambua wadau muhimu kwenye mchakato wote wa mabadiliko....!! Nadhan haitakuwa haki leo kikwete kuchukua credit zote za barabara bila kumtaja maghofuli...si haki katika historia....
 
Asee South Africa bila kumtaja BANTU STEVE BIKO Nasema tena ubaguz wa rangi ungekuwepo hadi leo(Ingawa haujaisha Saaaana)waliopeteza maisha Yao Ndo wametuweka huru ....kwa mm Na ww kusimama Leo Hii kama waafrica tambua kuwa akina BIKO wa South Africa Na akina dedan kimathi wa Kenya bila kumsahau Patrick lumumba walipoteza maisha Yao. Leo Hii tuna wasifu akina Mandela?Mandela Ndo nan?Huyu waliyemculturalize akawa moyon mzungu?....a process of converting an African into a thing as Franz fanon intimidated kwenye hoja ya liberation of an African mind inatakiwa ifanyike Mara moja . R.I.P BIKO, KIMATHI AND LUMUMBA
 
Sikiliza waliokuwapo

Last edited by a moderator:
Mandela na Nyerere ni Mashariki na Magharibi, hawafanani kwa mtazamo huo wa uadilifu na kutambua mchango wa wengine katika kupigania uhuru wa nchi zao.
Historia ya Uhuru wa Tanganyika inayosomeshwa katika shule zenu imemkuza Nyerere kupita kiasi, (exaggerations) ingawa ametoa mchango wake lakini siyo kiasi hicho kinachosomeshwa, Nyerere amejiunga katika mapambano ya kupigania uhuru wakati ambao bado miaka michache tu Tanganyika iwe huru. Kuanzia mapema miaka ya 1950s alipojiunga na TAA ambayo ilikuwa ndiyo chama cha vuguvugu la Uhuru, kikiongozwa na Wazee wa Dar Es Salaam maarufu kutoka ukoo wa Sykes na Azizi Ally. Chama hiki kiliundwa mwaka 1929 wakati huo Nyerere akiwa na miaka 8 tu hata lugha ya Kiswahili hajuwi (soma We Must Run While They Walk, by W. E .Smith ambaye ameleza kuwa Nyerere alijifundisha Kiswahili akiwa na Umri wa Miaka 12 tu). Wakati huo TAA ilikuwa ikipigania ustawi wa maisha ya Mwafrika wa Tanganyika na mpaka mwaka 1950 wakati Nyerere anajiunga nayo TAA ilikuwa imeshaenea karibu majimbo yote ya Tanganyika. Hii maana yake kulikuwa kuna watu wamefanya kazi hiyo kubwa ya harakati katika wakati ambao hakuna simu za viganjani, wala barabara na gari za uhakika za kusafiri katika nyika, Nyerere alikuta mtandao huo wa vugu vugu la ukombozi upo tayari wakati wanageuza TAA kutoka vugu vugu la ukombozi kuwa TANU chama cha siasa cha uhuru (ingawa kwa bahati mbaya au kwa makusudi mchango wa watu hao muhimu waliofanikisha harakati za vugu vugu la uhuru wa Tanganyika hautajwi wala haupewi umuhimu wowote).
Mandela mwenyewe yupo Honest katika hili, kinyume na anavyoeleza huyo mwandishi, ukisoma kitabu chake "Long Walk to Freedom", hajajikweza kama kila kitu kafanya yeye, ametambuwa michango ya watu zaidi ya mia moja ambao walifanya makubwa sana katika harakati za ukombozi wa Afrika ya Kusini kuliko yeye na ambao ukenda A.Kusini majina na michango yao inaenziwa kama anavyoenziwa Mandela. Ilikuwa ni Mkakati wa ANC tokea ilipoundwa mwaka 1912, miaka sita kabla ya kuzaliwa Mandela, kuwa chama hicho hakitamfanya mtu yoyote kuwa mtukufu (cult personality), kama ambavyo CCM imefanya kwa Nyerere na kama wafanyavyo madikteta wengine wa Afrika (soma barua ya Thabo Mbeki kwa Rais wa ANC, Jacob Zuma, wakati alipojiuzulu urais 2008). Mandela alikuwa ni alama ya mapambano yenyewe ya ubaguzi wa Rangi, sambamba na Waafrika wengine wengi amabo yeye mwenyewe Mandela amewatambua katika maandishi yake mwenyewe, jambo ambalo Nyerere hajalifanya.
Mandela hakufungwa peke yake Robben Island, alifungwa na wenzake na wakati yupo gerezani harakati za kudai uhuru na kupinga ubaguzi wa rangi zikifanywa kwa jina lake na wenzake. Hata Kenya hali ilikuwa kama hivyo, Mzee Jomo Kenyatta anaanza harakati za uhuru si muda mrefu mwaka 1952 alikamwata na kuwekwa gerezani kwa miaka 10, lakini kipindi chote hicho harakati za uhuru zikiendelea kwa jina lake, na huku madai ya wapigania uhuru waliokuwa nje, kama ilvyokuwa kuwa Afrika ya Kusini, yakitaka kuachiwa kwa kiongozi wao huyo kama sehemu ya kuelekea uhuru wa Kenya na alipoachiwa mwaka 1961, akawa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Kenya Uhuru, the same to Mandela na hilo wamelifanya Wakenya wenyewe kama walivyofanya S.Africans.

Then mbadala wa nyerere ni nani maana umemwaga ----- wa chuki tu hapa
 
kwanza usiwe mshabiki, ongea kwa vigezo na vituo, mm sikubeza hata kidogo mchango wa Nyarere katika mapambano ya uhuru wa Tanganyika. Najua kama mada ni mchango wa Mandela katika kupigania uhuru ikidaiwa kuwa amechukuwa credit kubwa wakati siyo yeye aliyeleta uhuru wa Afrika ya Kusini, hoja yangu mimi ni kuwa ingakuwa assertation hiyo imeelekea kwa Nyerere (kuna mtu alimtaja hap juu) basi ingakuea sawa kwa kuwa Nyerere si katika viongozi ambao wamekuwa honest kutambuwa mchango wa wenzao katika mapambano ya uhuru, unaowasikia ni hao hao 'waliokuwa loyal kupitiliza kwake, wakatajwa pamoja na yeye, ambao ni wachache, wengi hawatajwi na mchago wao ulikuwa muhimu sana kuliko hao wanaotajwa akiwamo yeye. Labda nikupe mfano mdogo sana tu, mchukuwe Mwalimu Kihere wa Tanga, mtu huyu alikuwa muhimu katika kufanikisha safari ya Nyerere kwenda New York, kuomba UN itowe uhuru kwa Tanganyika kujitawala yenyewe, kama Mwalimu Kihere angeshindwa kufikisha 'mzigo' kutoka Tanga hadi Dar es Salaam, chini ya upekuzi mkali wa wakoloni, basi safari hiyo isingewezekana (huo mfano mdogo tu), mtu huyu hakuna pahala anatambuliwa mchango wake huo muhimu tu. Kuelezwa tu kuwa "wazee mbali mbali" wakati wanajulikana hiyo siyo kuitendea haki historia ya nchi hii, na hapo ndipo penye tofauti kati ya Nyerere na Mandela ambaye amewatambua watu karibu wote waliosaidiana naye katka mapambano magumu ya kupinga ubaguzi wa rangi. Unachokionyesha wewe ni kimoja kuwa unadhani utukufu wote aliokuwa nao Nyerere au anaopewa, kana kwamba hakuwa akifanya makosa, jambo ambalo siyo kweli, yapo mazuri mengi Nyerere amefanya yanastahili kuenziwa na kudumishwa, na yapo mabaya kama binaadamu amefanya, yanahitaji kusemwa ili viongozi wanaokuja warekebishe, Mkuu usiwafanye watu kama malaika, utageuka wewe kuwa shetani, maana makosa yao utaona ni sahihi.

Braza,sijakusoma kabisa maana hio font uliyotumia ni balaa.Hubiri kile unachosema,ni wazi wewe ni mtu wa kulaumu wengine juu ya matatizo yako binafsi.Kwa kuanza nakuona na hio post hapo juu.sijakusoma kaibsa sababu ya mwandiko wako,ila nashukuru mchango wako.
 
shortly, ni hivi, kuna tofauti kubwa kati ya Nyerere na Mandela namna walivyojitoa katika ukombozi wa nchi zao, ni hivyo tu!
 
Mugabe call him coward beast.
by the way Mandela is better than all mofo.
Mandela died and those Mother fucker monkey started to kill their fellow African.
I Hate those looser S.A.
i have a young brother there which i loove him so much.good that he was a gangster from Tz.so he just watch them play.
 
Kwani Tanganyika ilitawaliwa? Nchi gani iliyotawaliwa ilienda kudai uhuru umoja wa mataifa?
 
Acha kuchakachua historia, rudi nyumbani u-make history kwenye 'safari ya matumaini' yenye 'mafuriko yasiyozuilika kwa mkono'
 
Duhuu nilikusahau kwanza. Baadaye nikajua ni mzee wa kuboronga. Anyway, ndio kwanza nimerudi kutoka bongo. Nimepanda vi-bajaj kukwepa traffic jams.

Nimeona mpaka NSSF Affordable Housing project. One unit costs approximately 200,000 USD, which is too expensive for a higher end mlalahoi to afford.

With regard to making history, I think I am a mismatch. I have been outside the country for too long and I am not sure if I will be reconnect.
 
Back
Top Bottom