Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,976
- 2,173
JK simwoni hapa
Nimefurahi kusikia Mama Maria Nyerere akipigiwa makofi.
JK simwoni hapa
Mkalimani amebadilishwa, safari hii ni mwanamme!
marais wote, waliopo na wastaafu wametambulishwa ila "kiguu na njia" wetu sijaskia akitambulishwa!
Nimefurahi kusikia Mama Maria Nyerere akipigiwa makofi.
Hata mm sikumwona, ila nimemwona zuma mstari wa mbele kabisa!
Nasikia JK atatoa hotuba sijui ni kweli au udaku wa magazeti ya bongo
imeniuma sijamwona, katajwa tu jina au yupo? maana tuliambiwa atawakilishwa na watoto wake
Kaa tayari kusikia "ze zeeeeee zee president.......l
eti mama maria yupo huko qunhu?
ITV,EATV,CHANEL 10,MUVI TV,Mozambiq Tv 1 &2 nazo zinarusha live .
Tizama maazishi ya mandela hapa live kwa wale wasio na kingámuzi: Nelson Mandela has died. Live coverage from eNCA - YouTube