maraisi wote wa dunia wametoa salamu zao za rambirambi usiku kwenye nhi zao, wakwetu ilikuwaje?
kwa nini wewe na genge lako mnahubiri udini na ukanda kila siku, hamjui kwamba mnapanda mbengu chafu ndani ya nchi yetu.Katika hali ya kawaida chuki kati ya weupe na weusi Afrika Kusini,chuki iliyojengwa kwasababu ya ubaguzi wa kutisha uliotendwa na serikali ya makaburu, haikua rahisi kudhani kwamba lingekua ni jambo rahisi kuwafanya watu wasahau na kusameheana na leo waishi kama Afrika Kusini moja! Nelson Mandela(Madiba) kaliweza hili. Ndio maana ninaamini Madiba ni mfano bora wa viongozi waliondesha siasa zao kwa kuunganisha watu, badala ya kuwagawa.
ALITUMIA DAWA YA UPENDO KWENYE JAMII ILIYOKUWA IMEJAA CHUKI NA AKAFANIKIWA KULINGANISHA TAIFA LAKE! R. I. P baba
Madiba, pumzika kwa amani baba Afrika!
Katika hali ya kawaida chuki kati ya weupe na weusi Afrika Kusini,chuki iliyojengwa kwasababu ya ubaguzi wa kutisha uliotendwa na serikali ya makaburu, haikua rahisi kudhani kwamba lingekua ni jambo rahisi kuwafanya watu wasahau na kusameheana na leo waishi kama Afrika Kusini moja! Nelson Mandela(Madiba) kaliweza hili. Ndio maana ninaamini Madiba ni mfano bora wa viongozi waliondesha siasa zao kwa kuunganisha watu, badala ya kuwagawa.
ALITUMIA DAWA YA UPENDO KWENYE JAMII ILIYOKUWA IMEJAA CHUKI NA AKAFANIKIWA KULINGANISHA TAIFA LAKE! R. I. P baba
Madiba, pumzika kwa amani baba Afrika!