Historia inaeleza kuwa Arsenal haijawahi kufuzu semi finial kwa kuishinda timu ya England na Man United haijawahi kutolewa CL na timu ya England. Hiyo ndo historia sasa ni 3:0 ili Arsenal asongembele lazima apige goli 5 na kwa mchezo huu almost impossible.

Goli 5 hehehe, kwani kipa wetu ni Fabianski au tumekuwa Tottenham? Surely Arsenal couldn't have played in the finals kwa kweli. Becks kaja kushuhudi mauaji sio.
Masa my dear!
Thanx for your support leo, kesho tutashangilia wote ze bluez ila Messi simtoi na nitamshangilia akigusa mpira..Cheers
No worries my Sweet heart...tukifungwa ushishangilie kwa nguvu!
Nahisi naumwa kichwa huena kesho nikawa siko online, heheheheheheheIts totally humiliation!..lol
Hamna raha tena kuangalia.
Invisible, kazi kwenu kesho nadhani unamuona mtu kwa Avatar yangu!..he he! All the best
WTF...huyu refa vipi tena?
Nahisi naumwa kichwa huena kesho nikawa siko online, hehehehehehehe
Nahisi naumwa kichwa huena kesho nikawa siko online, hehehehehehehe
Hahaha vipi kuna JF maintenance ya kufa mtu kesho mida kama hii?
Basi itabidi niugue tu wiki nzima... Hehehehehe!Hata usipoingia kesho,next day utakuwa mjadala jamvini itabidi ujibu tu!
Hivi kuna mtu alitarajia Manchester (1) kutolewa na Arsenal (4)? Atakuwa alikuwa anajitakia kupandisha pressure.
Mechi ya kwanza watoto wa Mr. Bean walikuwa na bahati, naona leo walikuwa wanakaa kitako tena wakisubiri tena bahati badala ya kucheza soka..
Nawasikitikia sana wale jamaa walokuja na mabango ya "We trust in Mr.Bean", alidai timu itakuwa kali lakini lol..Kweli Mr.Bean ni Mr.Bean tu..