md4doctor2000
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 736
- 315
RIP Man U!! Sorry Sir Ferguson!
Safi sana kesho mtaani kimyaaa! Hakuna cha shetan mwekundu wala mweusi.im out:nono:
Wala hakuna cha wekundu wa Msimbazi.Safi sana kesho mtaani kimyaaa! Hakuna cha shetan mwekundu wala mweusi.
56′ - NANI IS OFF!! THE UNITED MAN HAS BEEN GIVEN
A RED CARD!! The Turkish referee Cuneyt Cakir has shown
the Portugal international a straight red after he caught
Arbeloa with a high foot. Surely that was only a yellow?!
Referee alikuwa anatafuta bwana
Umeona eeh? Walidhani EPL banaingelikuwa Nani amesimama na hakujidai kuwa kaumia nafikiri ingelikuwa yellow card na ile kuect ndio ilimponza zaidi
ingelikuwa Nani amesimama na hakujidai kuwa kaumia nafikiri ingelikuwa yellow card na ile kuect ndio ilimponza zaidi
Nani aliruka juuu sana na ile kiatu mbavuni afu akajizungusha kuwa yeye ndio kaumia hapo ndio ilimponza......
Kuna watu wana akili za maiti, hata sisi tusiojuwa mpira kwa sana lakini mechi ya kwanza tu tulijuwa ni timu ipi bora kwa mechi ile ya awali, sasa huu ushujaa wa kutalajia Man U ina la zaidi mnautowa wapi?
Man U out, Barcelona out, utaki unaacha.