Chukua bodaboda mkuu, ila hakikisha dereva sio shabiki wa man u.mwenzio nafikiria namna ya kufika home sasa!!maana nilikuwa nauangalizia mbali!!ila sisi tungekuwa 2 wao 1 hata kwa mguu ningefika!!
mkuu mi naona leo nitalala hapa hapa tu maana hata nguvu ya kupanda hiyo boda boda haipo tena!!nshukuru Mungu angalau Yanga anaongoza ligi!Chukua bodaboda mkuu, ila hakikisha dereva sio shabiki wa man u.