Manchester United vs Real Madrid (Live Feeds) - March 05, 2013

Manchester United vs Real Madrid (Live Feeds) - March 05, 2013

hivi goli la man utd kafunga nani jana.... hahaaaa
 
Sina kumbukumbu ya Man U kufungwa na timu yoyote, iwe ya ndani au nje wakaacha kulalamika. Labda mechi ya kirafiki. Hao jamaa wamezoea kubebwa na marefa na pia uongozi wa FA. Mechi pekee waliyokubali matokeo kwa kumbukumbu zangu ni ile ya fainali na Barcelona. Ndio maana wameua kabisa mpira wa England. Hata wanapotafutwa wachezaji bora 20 duniani hakuna anayechomoka kutoka England. Shame on you Man U. Timu yoyote ikiibukia kuleta changamoto kwa Man U huko England utaona itakavyoshambuliwa kila kona na FA na vyombo vyao vya habari. Angalia yaliyotokea kwa Chelsea, angalia yaliyotokea kwa Man City. Kila siku ni story za kocha kutimuliwa, chezaji gani amefanya nini, nk. Kukiwa na mechi muhimu na timu pinzani utaona refa atakavyochezesha mechi, hadi Man U washinde ndio anatulia. Angalia jinsi Chelsea alivyonyanyaswa wakati ule anaongoza ligi, kadi nyekundu na penati nje nje lakini za upande mmoja. Pamoja na Chelsea kuwa nyuma kwa goli 2 walirudisha goli zote, lakini wakalazimika kucheza pungufu na pia Chacharito akaachwa kufunga akiwa clear offside. Hii inanifanya niichukie Man U na Ligi ya England kwa ujumla. Naomba anayejua kiingereza anifikishie ujumbe huu kwa babu Fergason aache mchezo mchafu, anaua mpira wa England. Angalia hivi sasa, wachezaji wakubwa na makocha wazuri wote wanakimbia England, maana wanajua hata wangefanyeje Man U ataendelea kubebwa. Shame on you Man U supporters. Tahadhali, I dont need any attack on this because I am going offline after delivering my message.

God bless you all.

Zipo mbili mkuu, siku hiyo walitandikwa hadi wakatia huruma na hakukuwa na wa kumlaumu.

balo_1395850a.jpg

Na nyingine hii hapa

images

Gerald Pique akiondoka na wavu uwanja wa Wembley baada ya Man U kupata kichapo cha bao 3 kichapo kilichopelekea Madam Alexandra Ferguson kupata kiharusi. Lionel Messi alifunga bao la kichwa pamoja na ufupi ule.....madharauuuuu!
 
1. De Jong ni mchezaji aliekamilika 100% coz anachezea AC Milan...
2. Baada ya De Jong au the young kuruka hiyo fran kick alimfuata mhanga Alonso na kisha kumuomba radhi...

3. Louis Nani hajakamilika coz hajachezea Milan.
4. Baada ya kuruka hiyo fran kick yake alianza kugalagala pale chini. Yaani alikuwa sasa anamdanganya mwamuzi...

Halal

wachezaji wa man utd ni waongo na kwa kufanya hivo wanapata dhambi kwa mungu...yaani Nani karuka teke la kwenye taikondo afu anajifanya kaumia ....lima red card akapumzike nje huko
 
Kwa hesabu za watoto, Rm. 3 Mu 0 kwa sababu hawakufunga goli jana. Ila kwa sababu huku jamvini tupo wakubwa tu......
 
Kwa hesabu za watoto, Rm. 3 Mu 0 kwa sababu hawakufunga goli jana. Ila kwa sababu huku jamvini tupo wakubwa tu......

uwiiiii....nilisahau hii..ni kweli ni 3 bila maana hakuna mchezaji wao aliyefunga goli
 
Nani can make life in karate rather than in football
 
Kwani makosa ya De Jong yanahalalisha makosa ya Luis Nyani?

Nyie mnaumwa kweli kweli, kwa hiyo, Luis Nyani alimrukia Arbeloa akijua atapewa njano kama alivyopewa De Jong? Mmeshamiminwa tulieni, mambo ya kulialia kama watoto hayana nafasi, mbona mwenzenu Rage safari hii hakuikatia rufaa Libolo baada ya kudundwa miwa mi5
 
hahaaa huyo ndo alikuwa anazurura tu uwanjani kama muuza karanga pale T garden...yaani anazunguka zunguka tu kama ananjesha watu karanga bar

Yule bwana ukitaka kuona makali yake ukute Marefa United inacheza na West Ham au kina Aston Villa huko, duh, mbona utasema hakunaga....lkn jana na ile ya Bernabeu, kama muuza karanga za kapu kwa kutumia kisoda
 
Inabidi kuwa wapole tu mkuu...Madrid iko juu sasahiv

yaani mourinho mjeuri sana..mpira haujaisha yeye anawahi zake kupiga taska baridiiiiiii.....kweli MU mwaka wa tabu huu...bora wapwa zangu chelsea na asernal wao wanaona kawa tu kupigwa migoli
 
Yule bwana ukitaka kuona makali yake ukute Marefa United inacheza na West Ham au kina Aston Villa huko, duh, mbona utasema hakunaga....lkn jana na ile ya Bernabeu, kama muuza karanga za kapu kwa kutumia kisoda

hahaaaaaa....
 
Akaunti yangu ya kuendelea kuwaletea live coverage imeisha ila nikisawazisha ndio nitarudi hewani. SISI 1 WAO 2

Dah, mkuu kuna timu nyingine kuzishabikia lazima uwe na moyo wa jiwe
 
yaani tukifungwaga ndio nakua nazidi kuipenda timu yangu mpaka basiiii....bora tue tunaendelea kushinda
 
Kwani makosa ya De Jong yanahalalisha makosa ya Luis Nyani?

Nyie mnaumwa kweli kweli, kwa hiyo, Luis Nyani alimrukia Arbeloa akijua atapewa njano kama alivyopewa De Jong? Mmeshamiminwa tulieni, mambo ya kulialia kama watoto hayana nafasi, mbona mwenzenu Rage safari hii hakuikatia rufaa Libolo baada ya kudundwa miwa mi5

Tell dem fools!
 
Kwa hesabu za watoto, Rm. 3 Mu 0 kwa sababu hawakufunga goli jana. Ila kwa sababu huku jamvini tupo wakubwa tu......

Mkuu Crocozilla ukweli huo ingawa unauma hasahasa kwangu pro Man u.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom