mkuu mi naona leo nitalala hapa hapa tu maana hata nguvu ya kupanda hiyo boda boda haipo tena!!nshukuru Mungu angalau Yanga anaongoza ligi!
refa refa refa refa refa
mkuu mi naona leo nitalala hapa hapa tu maana hata nguvu ya kupanda hiyo boda boda haipo tena!!nshukuru Mungu angalau Yanga anaongoza ligi!
Wala hakuna cha wekundu wa Msimbazi.
nakwambia hii mechi ingekuwa taifa sijui kama angetoka huyu!!!refa refa refa refa refa
Kama timu bora zaidi duniani(Barc) ilifungwa goli 5 ndani ya wiki moja nyie ManyU m-mejitahidi sana!! Manake mngefungwa hata 10 leo
yaani natamani hata zisingeingia kabisa huko uwanjani!!Timu ziko uwanjani, mpaka dakika ya 09 bado ni bila bila. Nitatoa taarifa zaidi na matokeo jumla. Wenzangu wa MAN UTD nipeni moyo wakuu.
Ingekuwa timu yenu arsenal zingekuwa ngapi? 25?
Timu ziko uwanjani, mpaka dakika ya 09 bado ni bila bila. Nitatoa taarifa zaidi na matokeo jumla. Wenzangu wa MAN UTD nipeni moyo wakuu.
Kama timu bora zaidi duniani(Barc) ilifungwa goli 5 ndani ya wiki moja nyie ManyU m-mejitahidi sana!! Manake mngefungwa hata 10 leo