Kisa ni nini?Nani kapewa kadi nyekundu mpaka commentator wanasema what an awful decision from a referee
NANI red card
Mkuu tunaomba msaada hii link ilikuwa inaonyesha live ila sasa haipatikani??
Refa anaandaa mbeleko kwa ajili ya madrid au alistahili? Hebu funguka kidogo mazingira ya hiyo red card.