D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Kuanzia aanze kucheza sioni madhara yake kama namba9 kiukweli hata nafasi anazopata nyingi anaishia kushika kichwa
We need clinical no9 sio mambo ya weghost tena.
Haya ndio matatizo ya kuzaliwa kwenye mbunye ukiwa umetanguliza miguu.Nyie wapumbavu muachieni Sancho akacheze mpira sehemu ingine
Alvaro katolewa kwa mkopoAlvaro Fernandez na Victor lindelof watacover
Hilo ndiyo kosa la kiufundi au ndiyo Brandon William's atarudi ?Alvaro katolewa kwa mkopo