Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kweli kabisa napenda aggressiveness yake
Hata kwa Squad tuliyonayo, Kwenye midfield, Eriksen, Casemiro Fred, Scot na VDB kama watatu wakitoka maana yake tutabaki na watu wawili tu eneo hilo na Kobbie Mainoo ameumia.

Sote tunajua Eriksen baada ya injury amekuwa akicheza 30 minutes tu baada ya hapo anakuwa uchochoro, Casemiro akicheza ten games anakuwa amepata kadi tatu za njano au red.

Wakiondoka hao watatu unabaki na the weakest squad kwenye epl hata Notingham watakuja kwako kujipigia tu.

Haieleweki kama tukiuza Maguire, Fred na Scot tutasajili tena Midfielders wa kiwango kikubwa.

Kama ni Amrabat hell no.
 

Problem si kuwatoa, no potential replacement
 
Luke shaw
Marcus rashford
Jadon sancho
Wan bissaka
Heaton


Garnacho
Mainoo
Hannibal
Gore
Alvaro fernandez
Greenwood??


Maguire
Mctominay

Tuna uhaba wa wachezaji wazawa, ikitokezea scott na maguire wameondoka nafikiri jonny evans atapata mkataba wa mwaka mmoja
 
Varane kama si pancha za kila mara angekuwa mhimili wa timu shida anaumia wakati mgumu anatuachia msala wa Maguire.

Jamaa jana alikuwa analalamika kuhusu utitiri kwamba wachezaji hawajaliwi afya zao
 
Ndiyo maana mwisho nimesema kumreplace Scot na Amrabat haiwezi kutibu tatizo kwangu Scot namuona ni upgrade ya Amrabat
Usiwaze sana hapa tupo katika process ya rebuilding watasajiliwa bora zaidi yao,tulikywa na rundo la wachezaji wengi tena mizigo so wakiuzwa wote hao taratibu madirisha yajayo wataongezwa watu wenye faida na sio wa kukamilisha tu idadi ya wachezaji.
 
Amrabat amepambwa sana na mashabiki wa timu zote sio wetu tu hata tukipigwa ni kati ya mazoea yetu inakuwa si mara ya kwanza.

Tusubiri tuone ataonesha nini,nilitamani Scott abaki ili kuongeza depth tu ila hata akiuzwa whatever ni vyema hasa kama anataka muda mwingi wa kucheza maana kwa sasa United simuoni akipata huo muda
 
Amrabat amejulikana world cup ,kabla ya hapo Hakuna aliyekuwa anamjua
 
Some sources at United are indicating that Hojlund’s back injury issue is more serious than the club disclosed after completing his transfer from Atalanta last week
Nasikia kafeli vipimo ,imebid aendelee hivo hivo ila hatacheza mechi nyingi

Ten hag na vituko vya sajili zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…