So far rumekuwa na msimu mzuri kuwashinda..Kama tukichukua FA tutakuwa na msimu mzuri kuliko Arsenal......
Tena bila staiker halafu kuna watu humu wanamfananisha na Ole aliyekuwa na bull straikers Cavan na Igalo na akashindwa kuwatumia.Huyu EtH akipewa watu wake anaweza kutufikisha nchi ya ahadi.
Nafasi ya 3 tukiwa tumecheza mpira wa "ujanja-ujanja".
View attachment 2638555
Unasemaje? Mpaka sasa tuna msimu mzuri kuliko arsenane. Tuna kombe tayari, tumecheza mpaka robo fainali ya europa na tunacheza fainali ya FA vyote hivi aseno anavisikia kwenye bomba tu STALIN J VKama tukichukua FA tutakuwa na msimu mzuri kuliko Arsenal......
Hao mbwa arsenane pamoja na mdomo wote huo katikati ya msimu ndio wametuacha point 9 tu? Pumbavu zao.Huyu EtH akipewa watu wake anaweza kutufikisha nchi ya ahadi.
Nafasi ya 3 tukiwa tumecheza mpira wa "ujanja-ujanja".
View attachment 2638555
Watuambie tofauti ya mtu wa pili na watatu kwenye ligi ni ipi......Unasemaje? Mpaka sasa tuna msimu mzuri kuliko arsenane. Tuna kombe tayari, tumecheza mpaka robo fainali ya europa na tunacheza fainali ya FA vyote hivi aseno anavisikia kwenye bomba tu STALIN J V