Kitu ambacho kinanipa wasiwasi kwa sasa, ni tabia ya kurudi nyuma baada ya kuwa mbele....hii ni hatari...tulivyokuwa 2-1, timu ilipaswa kutafuta...ni vizuri DM kakiri kosa kwamba, walipaswa watafute la 3, badala ya kurudi nyuma....naamini kama kakiri, basi atalifanyia kazi....
#GGMU