Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe waga ni mpuuzi tu subr game yako kesho upigwe uende kutulia kwenye Uzi wako kwasababu huna unachojua kuhusu mpira na nikukumbushe hii Everton iliibaka team yako
Umetoka kwenye hoja umehamia kwenye matusi

Mimi matusi siwezi

Nilijua hoja niliyoweka utakuja na makasirikio tu

Sababu kaguswa mchezaji wa €100m

Nisamehe
 
GOAL! Man Utd 1- 0 Everton (37")


️: Mc Tominay
: Sancho
Your browser is not able to display this video.
 
Umetoka kwenye hoja umehamia kwenye matusi

Mimi matusi siwezi

Nilijua hoja niliyoweka utakuja na makasirikio tu

Sababu kaguswa mchezaji wa €100m

Nisamehe
Chukua hii
ANTONY DOS SANTOS
Kaja katkat ya msimu
Mechi ya kwanza alianza kuigonga team yako
Akatupia mechi 3 mfululizo
Akaendelea kutupia akapewa likizo
Mpaka sasa ANTONY huyuhuyu anamagoli 9 na sio striker sasa sijui ulitaka afunge goli ngapi
Ana assist 7+
Anacreate chance zaidi ya 12+
Najua huangalii mpira wewe ni keyboard worrior ndomaana nimekwambia wewe na wapuuzi wenzako mnaosema Antony tumepigwa NI WAJINGA

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Hapa ndipo mnaponifurahishaga

Kumbe mnapenda mpira mzuri enhee

Ule mpira wenu wa kuvizia Kaunta huwa mnajikaza tu

Ni hivi Everton bado quality ndogo
 
Ericksen anapasha aingie sasamzee wa kazi chafu


mobile app[/URL]
 
Hapa ndipo mnaponifurahishaga

Kumbe mnapenda mpira mzuri enhee

Ule mpira wenu wa kuvizia Kaunta huwa mnajikaza tu

Ni hivi Everton bado quality ndogo

Bwana mdg cjui ni shabiki wa timu gani?
Kitwa unashinda kwenye uzi wa Manchester United
 
Hapa ndipo mnaponifurahishaga

Kumbe mnapenda mpira mzuri enhee

Ule mpira wenu wa kuvizia Kaunta huwa mnajikaza tu

Ni hivi Everton bado quality ndogo
Nani alikuambia mpira mzuri ni ule wenu. Sisi mpira mzuri ni wa counter attacks.
 
Ivi izi fujo anazofanyaga MCtominay anatumwaga auuuu?? Jamaa mkorofi sana aisee mechi ikiisha bila kupewa njano uwa hajisikii kabsaa kuna game alitucost alitokea Sub ikapigwa kona akavuta mtu wakapewa tuta anazngua mda mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…