Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mwarabu apewe timu
Hata akipewa Mansoor kwa makocha hawa type ya kina 7 hag, conte , Mourinho kwa soka la kisasa ,mtatafuta mchawi na hamtampata

Kocha unapewa pesa za usajili unaenda sokon unanunua Anthony kwa €100m mara Sancho kwa €90m ,magwaya kwa €80m , wanabisaka kwa €60m , list Ni ndefu

Je kosa la Graza Ni lipi Kama sio ubovu wa Recruitment na makocha wajanja wajanja


7 hag ameshtuka ligi ya EPL haina utani kwasasa anaogopa hata kumuondoa Degea , amefeki majeruhi ya Rashford maana bila huyo mngekuwa nafasi ya 10 na GD -20+
 

10 Hag hpo aliemsajili yeye ni Anthony tu..
Na siku hizi washambuliaji na mawinga bei zao sokon ni ghali ukilinganisha na mabeki….
Hivyo kijanaa kaa kwa kutulia Man U inapohitaji mchezaji flan clabu ya mchezaji hutaja dau kubwa ukilinganisha na Arsenane wasio kuwa pesa
 
Naomba kujua hawa jamaa walipotelea wapi
King Ngwaba
radika

Walikuwa so active
Wapuuzi ni wengi sikuizi na wengi ni watoto unaweza kujitutumua ukawa mchangiaji linakuja toto linaanza kukutukana japo mpira ni utani ila humu wamezidi hasa mashabiki wa team nyingine kama Arsenal ni matusi tuu

Haya kenge mwingine ni Man U ila basi tu kwakua anataka kujifanya nae anajua utasikia anamlaumu kocha kila siku ooh "Kwanini kamuanzisha Dalot wakat AWB yupo" "kwanini kocha achezeshe mfumo huu" hii ukiangalia tu unajiuliza huyu mtu hakuna kitu anajua kuhusu mpira

So hao wadau lazima wapungue..kuna mbww mwngine sijui ni team gani kila akienda akirudi utasikia "Nyumbu kafanya hivi mara kafanya vile"
 
Arsenal ya soka Safi ina mafanikio gani kwenye soka la ulaya Kiufupi Mourinho pamoja na ujanja ujanja wake lakini upande wa ulaya ana mafanikio kuliko timu nzima ya arsenal

Mourinho Uefa trophy

Uefa champions league 2 trophy

Uefa ueropa league 2 trophy

Uefa conference league 1 trophy

Arsenal Uefa trophy

Uefa champions league 0


Uefa ueropa league 0


Yani kiufupi Mourinho ni bora kuliko arsenal.

Kama unabisha njoo na takwimu zenu za ulaya nyie na za Mourinho tuone nani mjanja mjanja.

Poor Arsenal
 
Yani nyie arsenal ni timu ndogo yenye imejificha kwenye kichaka cha timu kubwa,ndo maana mnaona kama hizo hela nyingi sababu ni timu ndogo na aina hela.

Barcelona walitoa hela za kuwanunua

Coutinho
Dembele
Griziman

Na bado walitia timu asala kwa sababu ni timu kubwa uwezi kuta wanalalamika nyie mlitoa pound 70 tu kwa pepe mpaka leo mnalia unajua ni kwanini small team mentality.

Sisi hela zipo ndo maana hata kimafanikio sio saizi yetu tuna makombe yenye hamna kwenye kabati lenu.

Timu yenu inabidi mkubali tu ni timu ndogo ndo maana mna miaka kibao saizi Uefa mnaona kwenye TV tu.

Sisi kumwaga hela ni jadi yetu hata wakichemsha maboss watauza hata jezi tu.
 
Hoja niliyoweka na ulichojibu ni vitu viwili tofauti kabisa


Nilitegemea useme Huyo Muarabu mnayemtaka atakuja kufanya kipi kipya kwenye Usajili ambacho Graza hawajafanya


Ndio maana nikasema hata Mansoor angekuwa hapo manjesta Kama makocha Ni kina 3+7 hag Basi leo angepigiwa kelele anazopigiwa Graza family


Huwa nawauliza mnamtaka Muarabu aje atoe pesa za usajili €250m -€300m

Je hizi pesa si ndio kapewa Huyu 3+7hag akamleta mchezaji kupitia Yutubu kwa €100m na wazee kina casemiro ambao soon atarudi Tena kuomba Pesa asajili Kiungo mkabaji
 
Aliyekwambia mafanikio ya Soka Ni uefa Nan?

Arsenal ni 3rd most decorated teams England

Arsenal ina fan base na uchumi mkubwa tu ndio maana hata Super League tulialikwa

Kwann Forest au astonvilla au Ajax wenye UCL hawakualikwa

Mashabiki wa manjesta jifunzeni mpira ndio maana mkiambiwa timu yenu mbovu hamtaki kukubali ukweli
 
Graza family hawaoni umuhimu wa kuuza timu

Kama pesa za usajili walitoa za kutosha Cha ajabu kaletwa mcheza dance


Kosa lao lipi ?

Bajeti €250m kocha anafanya udalali anamleta Anthony kwa €100m


Bado January kamleta shemeji yake Werghost
 
Graza family waliwahi kutoa bajeti nzuri ya usajili

Madalali wakamleta Sancho kwa €80m ,misimu yote ana Goli 7

Leo anapigiwa kelele Graza aachie timu ,kosa lake Nini?

Graza family shikilieni hapo hapo hakuna kumuuzia mtu timu
 
We jamaa mbona kuna mambo mapya mengi tu ya kuyaleta hapa kuliko unachokifanya hapa?
Jaribu kuendana na matukio ya wakati uliopo kuliko kujishusha hivi.
 
We jamaa mbona kuna mambo mapya mengi tu ya kuyaleta hapa kuliko unachokifanya hapa?
Jaribu kuendana na matukio ya wakati uliopo kuliko kujishusha hivi.
Unataka matukio gan ya Sasa ,wakati Graza wanakaza uzi hawauzi timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…