Siyo mbaya. Muanze kurudi kwenye goal difference yenu iliyozoeleka. Mlianza kuwaza ubingwa na sijui quadruple. Hapa angalau mtaona kuwa kazi ni ngumu kuliko mnavyofikiri
Huyu ten hag Kuna mda unasema ana akili, lakin ukimfatilia Vizuri sana na Hilo bichwa lake utagundua ana bichwa kubwa akili kijiko, hii game walistahili kuanza bissaka na malacia.