EtH toa Weghorst weka Garnacho, Rashford kaa katikati.
Halafu Antony anatufelisha sana kwenye counter hatoi pasi mapema. Pia wakati tunashambulia Rashford hatakiwi kupewa pasi, Antony aliharibu shambulizi moja kwa kumpa pasi Rashy.
North-West Derby ukiwa Anfield siyo mechi ya kitoto, vijana wajikaze.