Kila watu wana tabia kulingana na jamii watokayo. Kiujumla Waingereza ni watu wa swaga. Ndiyo maana hata ligi yao ni maarufu licha ya kutokuwa bora but are making big business out of it
Angalia vizuri, Wout ni mpambanaji sana anakimbia sana uwanjani. Nadhani ndio maana ETH anamuanzisha kila mechi. Wale wavivu kina Martial hawawezi mzikinwa hili lijamaa. Mwanzoni hata mimi nilimponda sana Wout.