Nakubali dogo atakuwa nuksi zaidi misimu miwili au mitatu ijayo..Lakini kwa hali ilivyo Man utd inatakiwa invest top top players ili aendelee kuwa mkali zaidi

Inaweza kuwa bonge la aibu kwa wazee wa Manchester... Beki imepwaya, katikati poa, umaliziaji ndo vile. Nilisema Kagawa angeanza mngekuwa na nafasi. Young anapotelea mbele.