Mtu Kama Lisandro Martinez Tunapata Taarifa Kwamba Anafosi Mabosi Zake Wakubali Dili Na United Aweze Kuja, Mchezaji Anaitaka Timu.... Lakini Sio De Jong Na Kasharipotiwa Mara Kadhaa Kuwa Hana Mpango Wa Kuondoka Pale Bado Anapenda Kubaki Pale Bado Anapataka Pale Lakini Bado Mamtu Yana Mng'ang'ania, DILI LA KISHOGA...FUUUCK!!