Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huwa najiuliza kwa huu uchezaji wetu huko UCL huwa tunataka kwenda kufanya nini?
Mie kusema kweli Man Utd wanataka kunistaafisha ushabiki wa mpira.
Hatar mzee nahisi possesion ingekua 95% kwa 5% mpira wa kasi sana...wachezaji wanajituma ukiangalia wengi makinda tu phoden,Camavinga,Vini jr, na uyu Rashford,Sancho,Elanga wote Umri mmoja tofaut ni kujituma tu limepigwa pira Biriani mpaka unaona raha aisee

Dakika 90+5 zote amna Medical team iliongia ata mara 1 ukipigwa kiatu unavuta pumzi unainuka na kusonga Kiume aisee UCL ni tamu sanaa sis tungekufa nyingi tu
 
mdomo huponza, kwani paulo ungeliamua kukaa kimya kingeliharibika kitu gani kwa wakati huu ambao kila mchezaji anashutumiwa kuvujisha taarifa za ndani ya dressing room.
mazungumzo binafsi umeyaweka hadharani ulitegemea nini bwana paulo

ok, snitch wa kwanza tumeshamjua kuwa ni jesse lingard
=============

Paul Scholes on Jesse Lingard comments:
"I’ve had a little bit of stick for that. I don’t know why I did it! Honestly, sometimes words just come out your mouth. I have spoken to him since and probably best I don’t tell you what he said."
 
Huwa najiuliza kwa huu uchezaji wetu huko UCL huwa tunataka kwenda kufanya nini?
Mie kusema kweli Man Utd wanataka kunistaafisha ushabiki wa mpira.
Shida ya Man Utd sio kocha wala formation.

Ni suala la ATTITUDE ya wachezaji.

Tuna wachezaji wavivu, wazembe, mablazameni, walamba midomo. Unategemea watafanya nini?

R. Madrid hawana mastar kama wetu, ila angalia work rate yao uwanjani.

Mchezaji asie na discipline uwanjani usitegemee akufanyie maajabu.
 
View attachment 2202185
View attachment 2202180

huyo aliyeripoti habari ni laurie whitwell, ni TIER 1
Wanataka kumharibia ten hag kwa kuanza kumshauri asajiri maingereza. Huyu kocha asipokuwa makini atajaziwa average players alafu atajikuta anafukuzwa. Kwnn asimuige Pep kusajili wachezaji wa Amerika kusini huko au Wareno, wahispania na waholanzi lkn co maingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…