Muhimu zaidi ni kushinda Game ijayo na Norwich ambayo si ngumu sana kwa ajili ya kuweka mazingira ya kuingia top four Mwaka mpya na kabla ya kumaliza January we can be on the top position
Southampton washafia mbali huko wana point 24 hata Tot na Newcastle wakishinda hakuna shida cha Msingi ni Utd kushnda mechi zake hasa kipind hichi cha kumalizia mwaka kwani Timu zilizo juu yake zinakutana zenyewe kwa zenyewe hivyo kuna timu zitadrop points kuanzia leo kati ya Man City na Liver, next matches Liver na Chelsea, Arsenal na Newcastle hapo lazima tukamate watu