Wacha uongo usije ukawa unaangalia TV ya Wagagagigikoko ..... ..... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee vipi Young Diver leo atapata penati!
Nachikia refa alitaka akatiwe burungutu ndio chababu mpira ukasimama kwa sekunde kadhaa .... .... chacha kakatiwa tayari ..... .... Hivi bado mnatumia njia za Fungie kushinda?