Brentford katoka kushonwa atakuja huku anaogopa. United katoka kusuluhu anakuja huku anataka kufufua matumaini ya top 4 kwakua viporo vilishakua siyo ishu.
Ralf bado anafanyia majaribio formations zake wakati Brentford tayari iko established katika 3 5 2 so natarajia mpira wa kueleweka uchezwe sana na Brentford as wataovercrowd mid.
Timu zote mbili zina finishers wazuri ila united ina shaky defense so cha kwanza kukipoteza ni clean sheet. Game itakua ya moto naprefer Brentford ashinde ili kunipunguzia wagombea top four