Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona mpo kwenye siku zenu.

Damu hazikatiki tu?
ukishapakuliwa kisamvu unaharibika kisaikolojia unaanza kuparamia kila mwanaume akutulize na muwasho. huku kwetu hatuna rainbow society rudi cheltako ukatulie na watu wa aina yako
 
Nyie matakataka muna nini cha kusema? Uyo kocha enu mpya kafanya maajabu gani hadi sasa??
 
ukishapakuliwa kisamvu unaharibika kisaikolojia unaanza kuparamia kila mwanaume akutulize na muwasho. huku kwetu hatuna rainbow society rudi cheltako ukatulie na watu wa aina yako
Pedi zinatosha... Wanaume tukawanunulie?
 
City wako vizuri sana, utafikiri ni ps 4 wanachezeshwa...... Brendan rodgers hana uwezo wq kutupa mafanikio kwaile mid yao alafu hata pass 10 wanashindwa leo

youri tielemans amesababisha penalty hapa....4-0 hawajafika hata half time
 
utadhani kocha wa leicester city ni chinua achebe dadeki, yani hana mfumo wowote kwenye hivyo mechi, wanachezewa robo tatu uwanja sio nusu tena dah, nasikitika kila nikiwaza eti kuna watu walikuwa wanampigia upatu brenda fassie awe kocha wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…