Kikosi safi sana hiki, timu kali kama Chelsea inahitaji kitasa kama Baily. Nimependa pia amemrudisha Phil Jones, hawa wakongwe wana akili kubwa sana. Matic ni mzito lakini ana vijana wepesi wawili kushoto na kulia kwake, hakuna kitu kitaharibika hapo kati.