Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hahahahahahahaha kwaheri mkuu usije nipiga risasi kisa mpira. Hahahahahahahaha.

rudi kwenu kwani hamna dstv au unazi tu unakusumbua......kwa kweli im disappointed hali ni mbaya...anyway we still hope for the best.......
 
rudi kwenu kwani hamna dstv au unazi tu unakusumbua......kwa kweli im disappointed hali ni mbaya...anyway we still hope for the best.......

Hahahahahahaha usijali mkuu ts part of the game na ndo mpira wenyewe huo, so wewe utafute usingizi tu kwa sasa.
 
Reactions: Mbu
Suarez on top.
Wenger kajua kuwakamata mashabiki wa arsenal.
Mourinho kaamka.
Everton anakuja.
Man city na mwendo wa mlevi,anayumba lakini anafika.
Liverpool kama kinyonga,anabadilika huku anasonga.
Ligi haina mwenyewe,kwaheri Fugerson ila nakushangaa kwanini uliamua kuondoka na timu yako.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Kwa hali hii kweli Man U mnatisha.....!


halafu na hiyo jmosi mnachezea tena....
 
Man City kwa mwendo wa kilevi? unaumwa tena sehemu mbaya!
 
too bad Broo....Na Newcastle hawawaachi jmosi.
 
[h=1]Man United: 11 jokes in red jerseys on the field. 1 BIG JOKE in a training suit on the sideline.[/h]

Man United be like 'Started from the bottom still there'


It's like Man United are on the slippy slide downwards and Moyes is the one pouring the sunlight soap, smiling as the players go down #MUFC
 
nlitamani siku moja hali kama hii itokee kwa united ili nione wafuata mkumbo ni wapi, mpaka sasa nimegundua hii timu ilikuwa nao wengi sana......sasa naona tunaanza kujua zipi pumba na upi mchele; kuna washabiki wenu kila inapoitwa leo wanawasaliti. nahic mpaka mwisho wa msimu mtajuana nani ni pure red devils
 

teh teh tunamiaka 3 ya kujenga timu..
 
Imefikia wakati Man U tumkatae Moyes. Anatuondoa kwenye utamaduni wetu jamani wa kushinda zaidi nyumbani.
Anafanya sub za kijinga kabisa, kwani kitu gani kilichomfanya awatoe Rafael na Kagawa na kumwacha zuzu Fellain?
Moyes aondoke tu, tumechoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…