Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mech ijayo si nyepesi kwa uzembe wetu wa kuruhusu goli kila mech kazi ipo sisi kutoa gg kawaida sana
 
Una hasira sana haya makasiriko ya nini? Waliocheza mipira miaka ya 80 wakina maradona sio bora et?
 
Ole ana ubora gani sasa yani mpaka sasa kaleta ubora gani kikosini cha maana sana kuliko kina an gaal au Mou?
 
Madhara ya kukimbia shule mapema haya umeandika nini sasa.
 
hebu kwanza tulia.......Wewe utafananisha quality ya top four sahizi na top four ya enzi za fergie mfano hivi angalua chelsea ya kina Drogba, Lampard, essien, Makelele,john terry, joe cole, Carvalho

Arsenal ya Henry, Vieira, Berkamp, Van persie, Nasry, Adebayor, pires, Ashley cole,

liverpool ya kina Gerrard, torres, Xabi alonso, riise, Carragher, pepe reina, etc

Hao ni baadhi ya wachezaji wa squad tofauti zilizoshindana na timu ya Ferguson

Sasa wewe unafananisha na chelsea ya kina Mount wewe kweli hauna akili, wewe ole anashindwa mfunga Arsenal ya Kina Holding angeweza kuwafunga kikosi bora cha 2004 cha arsenal.......
 
Kwan ww unaakili?
 
Lakini bado utasikia watu, De Bryne ni noma
, where is he? Hata mwaka aliokuwa on his prime
 
Kwani tunapambania kombe moja tu mkuu?
EFL alicheza Daniel James Sancho upande wa kushoto na kulia alicheza James kama sikosei tumeshatolewa.

UEFA mechi zote alirotate kumbuka mechi hizo Rashford na Amad walikuwa na Injury na Daniel James tayari alikuwa ameshaondoka. Sasa Amad angechezeshwa akiwa na injury ?

Rashford amesharudi tutegemee Sancho kucheza kulia au kuendelea kucheza kushoto kama wataendelea na Greenwood upande wa kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…