Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,662
CavaniBruno Ferdinandez
2 goals
2 assists
Sasa ndio zitaanza final jinx 😁Finally Semi final jinx imevunjwa...
6 Greenwoods
Vipi Manchester City walivyopigwa 2 huku Pennandez wako akifunga penalty 1. Kwahiyo nayo ni kibondeHee tumekwisha, hakuna amani kesho mitaani[emoji16]
Ujue timu yako ni kibonde kweli kama Pennandez anakupiga 2 na kutoa assist 2 [emoji1787] [emoji1787]
Ooooh tumeonaa .. [emoji444][emoji444][emoji28][emoji28]Watumishi wako umewapa
Yote waombayo
Ikiwa umependezwa
Uamulo hakuna wa kulipinga
Hakika we ni Mungu, wa vyote
Unatawala dunia na vilivyomo
Makuu umeyatenda,
Jehova Hakika tumeona
Tumeuona,
Mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali,
Ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
(Chini, chini, chini)
Chini hata juu Watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele (Natutakusifu) Twasifu jina lako,
Milele tutakusifu (ooh kweli)
Daima we umwema tutaishi kwako
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hee tumekwisha, hakuna amani kesho mitaani[emoji16]
Ujue timu yako ni kibonde kweli kama Pennandez anakupiga 2 na kutoa assist 2 [emoji1787] [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ooooh tumeonaa .. [emoji444][emoji444][emoji28][emoji28]
Washambuliaji chipukizi wa MAN U, wanakitu cha kujifunza kutoka kwa Cavani. Jamaa ni mshambuliaji kwelikweli[emoji91].Achana na hawa wa huku bongo, wengine hadi wameamua kuwaita "washambuliaji wakabaji[emoji28]" (jokes)
Hakika, yani haiwezekani msimuu huu tukose kombe hata moja.Sasa tujiandae na final, Nguvu zote zihamishiwe huko
Kwenye ligi lazima tutamaliza wa pili, tunahitaji kunyanyua kombe msimu huu na kombe lenyewe ni hilo la Europa
GGMU
Yupo humu ngoja nimuite GreenwoodGreenwood ni hatari sana yule kijana.