Socha mweupe tu..timu haina hata makali,vichezaji vinacheza tu vinavyojua..Cavani anakaaje bench kwa martial????? Huyo ni kocha kweli kwa hii timu
Kabisa ole hana mbinu inategemeana na wachezaj wetu watajituma vipi mech wanayochezaSocha mweupe tu..timu haina hata makali,vichezaji vinacheza tu vinavyojua..
Tunabahatisha mechi moja tunahisi tumerudi and it's repeats over and over
Timu nzima tu ukiacha telles wengine ni utopolo..timu isiyoweza kukeep possession inapocheza na timu ndogo hiyo hamna kitu..Martial na pogba nakwambia ukweli hawa wanaongeza idadi ya wachezaji ila hatuna watu kwenye hizo namba za watu wawili
Asiposhinda hii mechi watu wanamla kichwaKocha kakaa tu jukwaani hata hapigi kelele..OT tunacheza ujinga hivi?
Kabisa mkuu nyumbani kipindi cha kwanza tumecheza kama timu ya champioshipTimu nzima tu ukiacha telles wengine ni utopolo..timu isiyoweza kukeep possession inapocheza na timu ndogo hiyo hamna kitu..
Safi
Hili jambo OGS hajawahi gundua hata siku moja. Rashford ni mzuri sana akiwa kati.martial akitokea pembeni anatishs kumchezesha kati ni kumuonea
Shipa ilo mzee na kocha naye shipa vile vile.Mimi kama shabiki lia lia wa ndugu Antony Martial nasema kwamba uvumilivu wangu juu yake umenishinda ananikera sana.
Mechi mbovu+kubebwa live, foolish.Tumeshinda lakini this was the worst performance ever..