Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Kule ninapotolea GIF pamezingua yaani unaziona GIF kama hiviView attachment 1508936ila ukizifungua hazionekaniView attachment 1508937
Wamchukue chapuSanchez ametoa assist na amefunga huko Italy
Assume ingekuwa 0-1.★Jamani nyongeza 11 [emoji23][emoji23]★
Assume ingekuwa 0-1.
Unaweza bana mpka ukapasua.[emoji16]
Hahahha dear,leo ulale unono sasa!!!Soton walituharibia sana last match
Nilishajiandaa kupata[emoji485]nilale unono, nikawa nashangaa dk za mwisho natoka jasho tu[emoji3][emoji3]
Saa hizi tungekuwa tumerelax kwenye nafasi ya 3 damn!!!
hivi huyu ni martial naye mjua, au hii laptop yangu iko na viruses?
I love you Fernandes
If you see this please give me a like 🤗
Hahaa umetokea wapi kwani[emoji3]Hahahha dear,leo ulale unono sasa!!!
I have given you a like on his behalf!
Nikajua Fernandes kalike 😁
Thanks anyway
Kwahiyo unataka usemeje..Our no 7 arudi sio??Sanchez ametoa assist na amefunga huko Italy
Hahaha, Fernandes yule wa humu au wa Man United kabisa?
Kumbe humu yupo mwenye hilo jina?hahahhah
Mi nampenda wa team yangu pendwa