Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kagawa kanifurahisha sana magoli yake aise...ana press tuu kiulainiii..
 
Pointi 15 juu ya msimamo!
Man Shitty, catch us if you can!
 
salamu zenu kutoka spai, ndan ya wiki moja barcelona wamenyukwa ngili 5 na madrid, wakarudisha chenji soo2 , owk ngojea iyo j5 tuone nan mjanja.
NOTE. jose hajawahi fungwa old traford!
 
salamu zenu kutoka spai, ndan ya wiki moja barcelona wamenyukwa ngili 5 na madrid, wakarudisha chenji soo2 , owk ngojea iyo j5 tuone nan mjanja.
NOTE. jose hajawahi fungwa old traford!
Unaonekana umeanza kufuatilia mpira juzi,mwaka 2009 wakati Mourinho akiwa Inter alifungwa na Manu OT

ManU 2 Inter Milan 0

VIDIC na CR7 walifunga magoli yote ya vichwa,game ya kwanza Italy iliisha droo ya bila kufungana
 
salamu zenu kutoka spai, ndan ya wiki moja barcelona wamenyukwa ngili 5 na madrid, wakarudisha chenji soo2 , owk ngojea iyo j5 tuone nan mjanja.
NOTE. jose hajawahi fungwa old traford!

kwani salam za 4-0 jana pia hukuziona yaani tume DOUBLE THE PRICE
 
salamu zenu kutoka spai, ndan ya wiki moja barcelona wamenyukwa ngili 5 na madrid, wakarudisha chenji soo2 , owk ngojea iyo j5 tuone nan mjanja.NOTE. jose hajawahi fungwa old traford!
Hukumbuki Mourinho alipokuwa Inter Milan alifungwa goli 2-0 na United Old Trafford baada ya sare ya 0-0 San Siro? Pia akiwa na Chelsea aliwahi kufungwa 1-0 Old Trafford mfungaji akiwa Fletcher goli la kichwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…