Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tusiteme big g kea karanga za kuonjeshwa tu.

Squad depth kwa sasa ni ya muhimu sana tunahitaji wachezaji wetu wawe fit wote sasa hivi tunapambana kuhakikisha tunarejea kwenye mashindano ya UCL wewe unataka tubaki na Greenwood tu ?


Kwa sasa ili hatutakiwi kudrop kwenye hizi mechi nne za epl ili tumuodoe chelsea hapo alipo tukishindwa walau tufike fainali ya EUROPA League turudi UCL kwa mlango wa nyuma.


Sub hata greenwood ni finisher mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa dozi ya tano kwa wachezaji waliopungufu, tena Club brugge


Piga tano kwa Everton tukuone kidume BTW Everton hawachekagi na Muuuusenge jiandae kisaikolojia.
 
Hatupati!

Kila kwenye amani na furaha wachawi hawakosekani . nasikitika kuona na wewe ni mmoja wako. Najua humtaki Ole ndo maana unaponda kila zuri la timu unataka timu ifanye vibaya ili ole afukuzwe huo ni uzwazwa na ubumunsa wa hali ya Juu.
Kua mchawi sio lazma uloge na kutembea na tunguli hata hili unalofanya ni uchawi pia.

#Mourihno yupo spurs mfuate huko.
#Tuachie Ole wetu anatutosha
#GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…