ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Sababu zinazomwangusha.
1 Squad depth
2 Majeraha kwa key players
3 Imaturity ya squad.
4 kuporomoka viwango kwa baadhi ya wachezaji.
Vitu hivi hutokea kwenye timu yoyote kama ilivyo kwa Barcelona msimu huu, Atletico Madrid(sababu ya 3), Bayern (sababu ya nne) Man city (sababu ya 2 na 3).
Lakini tactically Ole is not that bad kama tunavyotaka kusema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu achukue hii timu amekuwa akitumia count attacking football hata pale hao kina pogba walipokuwa fit na sidhani kama ana uwezo wa kubadili dimension ili awe anakabiliana na timu kutegemeana na zilivyoHakuna kitu kama kukamia kwenye mpira..na kama kipo kina influence ndogo sana kwenye matokeo ya mpira..Quality players na mbinu ndo kila kitu..ukiwa na mbinu na huna Quality players ni kazi bure
Tumpe credit zake Ole kwenye baadhi ya mechi kubwa plan zake zimefanya kazi vizuri..mfano ile game na Liverpool OT,tuliingia na approach nzuri,tukawashika pabaya Liva,Klopp akawa analialia tu kwenye touchline,japo walikuja kusawazisha dakika za mwisho..Ni aina ya wachezaji tulionao ndo wamesaidia hili(Pace on counters)
Tukija kwenye mechi ndogo ambazo timu zinacheza low block,unahitaji aina fulani ya wachezaji ili uweze kubreak na kutengeneza nafasi..Nani wa kufanya hivyo??..Pogba majeruhi tokea msimu umeenza..James hawezi kuwatoka mabeki kwenye hizi low block..matokeo yake ni kukosa points..
Ole apewe muda,tum-judge wachezaji wote wakiwa fit na pia kukiwa na ongezeko sahihi kwenye kikosi
Naamini hata Klopp akipewa hii timu hawezi kuiamini..lazima atataka kuongeza watu..sasa kwa nini tum-write off kabisa Ole??
Pep mwenyewe juzi hapa amesema,yeye bila wachezaji bora ni hamna kitu
Tumpe muda tuone project yake itafika wapi
Mimi pia naumia tusipopata matokeo na nakuwa na hasira na Ole lakini naona siyo sahihi kumtupia lawama 100%..
Tangu achukue hii timu amekuwa akitumia count attacking football hata pale hao kina pogba walipokuwa fit na sidhani kama ana uwezo wa kubadili dimension ili awe anakabiliana na timu kutegemeana na zilivyo
Pogba si alifanya surgery mkuu??..au ilikuwa ishu ndogo tu?Ole hajielewi, Ole hana mbinu, Ole ni muoga wa majina makubwa, Molde ndio size yake
Timu ipo Spain, majeruhi wanaorejea wameenda na timu Mabela, Spain mfano Tominay, Axel na wanapasha mazoezi madogo madogo
Pogba ameenda zake Dubai
Halafu kwenye press za Ole utasikia, Pogba want to play for the team, Pogba is the leader, the team is United (labda jina, ila sio maana ya neno united)
Sent using Jamii Forums mobile app
So, ulitaka aende nae akiwa haja recover, akiumia, mje mmwage lawama tena.Ole hajielewi, Ole hana mbinu, Ole ni muoga wa majina makubwa, Molde ndio size yake
Timu ipo Spain, majeruhi wanaorejea wameenda na timu Mabela, Spain mfano Tominay, Axel na wanapasha mazoezi madogo madogo
Pogba ameenda zake Dubai
Halafu kwenye press za Ole utasikia, Pogba want to play for the team, Pogba is the leader, the team is United (labda jina, ila sio maana ya neno united)
Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba si alifanya surgery mkuu??..au ilikuwa ishu ndogo tu?
So, ulitaka aende nae akiwa haja recover, akiumia, mje mmwage lawama tena.
Halafu akipona MCT au Axel, haimaanishi Pogba nae anapona.
Beggars can't be choosers
Alifanya surgery, ameshaanza mazoezi, lakini kaamua kwenda Dubai kufanyia huko. After all hata angekuwa bado, kwanini aende kuzurura zurura, injury haiwezi kupona haraka kwa kuzururazurura
Wakati huo huo, Raiola anaongelea Pogba kurudi Juventus, anakuita second home kwa Pogba. Nakumbuka kipindi Pogba anakuja United alisema anarejea nyumbani, Juventus ilikuwa kama Holiday kwake. Maisha bila unafiki hayaendi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mchezaji hata kama ni mpuuzi tumuheshimu kwa sababu bado yupo Man U? Hapo Umezingua. Kwa vitendo na ishara za huyo mchezaji hapaswi kuheshimiwa labda umheshimu wewe kama unapendelea ujinga wake!You have too much hate on Paul and Ole. Hadi muda mwingine unaandikaga hoja zisizo na msingi humu. Yaani wewe kila siku ni kumpinga Ole tu na kumsema Pogba.
Let me remind you that Manchester united is one of the top teams in the world of football and is run by professionals ambao hata kiuwezo wa kufikiria hufiki hata nusu coz ur clueless on how a big club like Manchester is being run.
Issue hadi unaona Paul anaenda kufanya personal recovery Dubai ujue kuna chain of decision making imefanywa na specialists wa afya yake so hizo propaganda zako za kila siku kumsema Paul hovyo uache respect him as he is still a united player till pale atakapoondoka.
Na pia learn to give Ole time bado project yake inaendelea be patient uache kumponda Ole kila siku wakati kwenye market hakuna kocha wa uhakila wa kuturudisha kwenye glory days.
You have too much hate on Paul and Ole. Hadi muda mwingine unaandikaga hoja zisizo na msingi humu. Yaani wewe kila siku ni kumpinga Ole tu na kumsema Pogba.
Let me remind you that Manchester united is one of the top teams in the world of football and is run by professionals ambao hata kiuwezo wa kufikiria hufiki hata nusu coz ur clueless on how a big club like Manchester is being run.
Issue hadi unaona Paul anaenda kufanya personal recovery Dubai ujue kuna chain of decision making imefanywa na specialists wa afya yake so hizo propaganda zako za kila siku kumsema Paul hovyo uache respect him as he is still a united player till pale atakapoondoka.
Na pia learn to give Ole time bado project yake inaendelea be patient uache kumponda Ole kila siku wakati kwenye market hakuna kocha wa uhakila wa kuturudisha kwenye glory days.
Yaani mchezaji hata kama ni mpuuzi tumuheshimu kwa sababu bado yupo Man U? Hapo Umezingua. Kwa vitendo na ishara za huyo mchezaji hapaswi kuheshimiwa labda umheshimu wewe kama unapendelea ujinga wake!
I don't hate Ole, Pogba ni mpuuzi sababu ya kutoishimu badge
Kwamba sina hata nusu uwezo wa wale wanaopanga mipango ya United, may be Yes, but I'm entitled to my opinion, and I am free to think.... I'm not like you who believe people who leading United (or people who are there in Europe, in United Board are angels) I'm not bendera fuata upepo like others, I'm am free thinker, may be not like you
Hao watu unaowasifu kwamba wana uwezo mkubwa wa kufikiri na tusiwakosoe, ndio mwaka wa 6/7 huu wanaendelea kutudumbukiza shimoni. Hao watu wameifikisha leo Man Utd kufurahia Man City kupata ban ili angalau tuwe 5, MAN UTD TOP 5,LEO TUNAOMBEA TOP 5? HII NDIO LEVEL TULIYOFIKIA UNITED.
The truth must be said, after all, naheshimu your opinions ya kumtukuza Pogba, mchezaji ambaye haheshimu badge ya United unatakaje mimi nimheshimu. Sijawahi kuwa shabiki wa mchezaji au kocha wa Man Utd, siwezi kumuweka mchezaji juu ya timu yangu, kila mchezaji wa United ninayempenda ni kwa sababu ya anapambana kwa ajili ya United, hata mchezaji mwenye uwezo wa kawaida pale United nitamheshimu ili miradi anapambana badge
Kuna mwenzako sababu ya kumpenda Pogba sana akawa anakataa kwamba Pogba hajawahi kutaka kuondoka United, eti ni uzushi wa magazeti, wakati kila kitu kipo dhahiri. Kuondoka sio kosa, kosa ni namna yeye na wakala wake wanavyo handle kuondoka kwake, kosa ni namna alivyo poisonous influence kwenye changing room, kosa ni Ole kung'ang'ania kirusi ili kiendelee kuchafua hali ya hewa.
Narudia kusema kwamba sijawahi kumchukia OGS kama kocha, na nina muhusudu sana kama mchezaji legend. Lakini the truth must be said, viatu vya ukocha wa United ni vikubwa sana kwa Ole na ninapotaja mapungufu yake isichukuliwe kuwa namchukia.
Ukweli ni kwamba, kwa matokeo anayopata Ole, angekuwa ni Jose, Van Gaal, Moyes asingekuwepo kazini, Ole anatembelea nyota ya u legend pale United, pengine Ed anaogopa kumuondoa sababu na yeye ataonekana kilaza maana ni kocha wa 4 tangu SAF lakini timu bado inafeli
Ole apewe muda, tayari ana zaidi ya mwaka. Bora angekuwa hapati matokeo lakini uone kuna kitu anafanya, ukiambiwa hata utaje falsafa ya Ole ni ngumu kuelezea, ni kama anawaambia wachezaji mkinyang'anya adui mpira washanbuliaji wakimbie mbele halafu mabeki/viungo wawatupie mipira. Lampard, Rodgers, Negel Peaeson (Watford), Wilder (Sheffield United), Ralph (Southampton) hata Rochdale wanacheza mpira unaoeleweka, unajua kabisa hii timu inatafuta nini,lakini sio United ya Ole.
Mbadala wa Ole upo, ukitaka established names, anza na Poch (first choice) , nenda kwa Allegri.
Sent using Jamii Forums mobile app