Bruno fernandes bado tu
halaf anaurud kucheza mechi ya benfica ?Muda siyo mrefu, bruno anaenda kwenye vipimo vya afya. Chama la man utd, ni chama linalopendwa na wachezaji wengi sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
halaf anaurud kucheza mechi ya benfica ?
Sent from my SM-G950U using Tapatalk
Akipata jeraha je??Bado wapo kwenye mazungumzo
Inasemekana Sporting wanachelewesha makusudi dili ili jamaa acheze ijumaa dhidi ya Benfica (kwao ni kama Liverpool kwa Manchester)
Sent using Jamii Forums mobile app
Akipata jeraha je??
Hawa jamaa wajinga kweli..
Pogba ana akili huwezi bakia kwenye club ambayo imekuwa ya kuchezesha wazawa na kuwabagua wachezaji wa kigeni
Martial muingereza, de gea muingereza, fred pia muingereza, Perreira na mata waingereza, lindelof muingereza, matic pia muingereza,Pogba ana akili huwezi bakia kwenye club ambayo imekuwa ya kuchezesha wazawa na kuwabagua wachezaji wa kigeni
Man Utd alias England United isahau makombe kwa kupenda uzawa kupitiliza ndio maana wachezaji wanaoangalia future hawachagui kuja Old Traford labda wale wapenda pesa na mashabiki wa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ole ni MnorwayPogba ana akili huwezi bakia kwenye club ambayo imekuwa ya kuchezesha wazawa na kuwabagua wachezaji wa kigeni
Man Utd alias England United isahau makombe kwa kupenda uzawa kupitiliza ndio maana wachezaji wanaoangalia future hawachagui kuja Old Traford labda wale wapenda pesa na mashabiki wa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuhakikishia walivyo wanafiki Waingereza ngoja Muingereza mweupe mfano Maguire azingue halafu at The same time Martial azingue uoneMartial muingereza, de gea muingereza, fred pia muingereza, Perreira na mata waingereza, lindelof muingereza, matic pia muingereza,
Hivyo ni vyombo vya habari mkuu, havina baraka ya man u ama bodi au team ya makocha. Na Vyombo vya habari vinataka kuuza hata ikiwa wanaemponda ni muingereza mwenzao as long as atauza magazeti watamponda. Refer wayne Rooney Alikuwa ni muingereza ila kapondwa sana tu.Nakuhakikishia walivyo wanafiki Waingereza ngoja Muingereza mweupe mfano Maguire azingue halafu at The same time Martial azingue uone
Sajili zimekuwa za wazawa watupu rumours pia wazawa watupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Let's go WOLVERHAMPTON.
Sure...hakuna Raahford na Pereira ambaye siku hizi amekuwa mpambanaji sana, TUTAPATA TABU SANA. Eti Martial ....