Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama ni kweli..huyu jamaa kweli ni kirusi..tumpige bei mapema

Ole asajili;
√Central midfielder
√Playmaker midfielder
√Competent Straiker
√Right Winger

And we are good to go maana tutakuwa na depth na kama sajili zitashine basi tutarudi kuwa competitive





 
Kama ni kweli..huyu jamaa kweli ni kirusi..tumpige bei mapemaView attachment 1308120

Piga bei! Man U ipo poa tu.


Arsenal tunahitaji watu wa kasi bila ujinga ujinga maana najua tutakamiwa so wakipoteza mpira ni mbio mbio mbio mbio mbio mbio mpaka goli la Arsenal.

Tatizo washambuliaji hawawahi golini unakuta kirosi ya Daniel James inapitiliza fala zao ndio maana namuonia wivu Vardy.

Vardy ni goli goli
 
Duuh huyu kwel kirusi, ila pogba hajitambui, OGS kama anataka kufanikiwa pale OT basi mwezi june aondoe hii kirusi ktk group

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba ni kirusi Mou alishatueleza ila naye Mou alikua na matatizo yake makubwa tu

OGS kama anataka kufanikiwa pale OT aondoe hiki kirusi faster, akichelewa akawambukiza wenzake basi kazi kwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya bahna wakati wenu wa kujidai ndo huu.....(mmesota sana asee....mpaka kufika mlipo Leo....)
Liverpool......Kila siku nyie MNA matatizo na VAR kwani kuna nini?

Liverpool haijawahi kuwa na Matatizo na VAR hata siku moja.
Bali aina ya Watu kama wewe ndiyo wenye matatizo na VAR.

Kele zako na wenzako juu ya VAR ndiyo unafanya ni matatizo ya Liverpool na VAR?
 
Kocha kampuuza pogba sioni haja ya kujibishana nae saiv kwenye kiungo walau kunatulia kwa sasa bila pogba no problem matic karudi bado kafanya poa na fred
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…