Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mitandaoni naona tetesi za man united kutaka kumsajili Saul Niguez, Haaland na Donny Van de beek.

Kwangu mimi ni bora mara kumi kumsajili Donny na Haland huyo Niguez sioni kama atakuwa na mchango wa maana kwenye timu.

Usajili wa Haaland utatulazimu kusajili twin striker na kubadili mfumo ili aweze kuwa accommodated, Au Rashford atacheza hiyo role the Donny Van De Beek atacheza nyuma yao as a no 10.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Red Bull Salzburg's Erling Braut Haaland has arrived in Dortmund along with agent Mino Raiola for talks with Borussia Dortmund, according to RN. #BVB #RBS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo ni goal poacher mzuri sana type ya Lewandoski.

Kizuri zaidi mwili wake na nguvu anauwezo wa kupambana na defenders vizuri.

Movement zake with or without the ball ni very tricky.

Wale pacha wake Takumi Minamino na Hang Che Hwang wanambeba ni wazuri sana pia.

Ndiyo maana nilisema kupata ubora wake vizuri umchezeshe na twin striker.
utaambiwa kawafunga Genk wachovu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…