Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna kitu mnatakiwa mkubali mashabiki WA man u.
"Zama za utawala wenu zimeisha"
 
Mashabiki wa man utd wakati mwingine tunakuwa kama maandazi. Watu bado wanamlilia lukaku, wanasema eti anatufaa. Lukaku hamna kitu, big match kama ya juzi kati ya inter na juve, kafanya nn cha maana? Sanchez umri umeenda, kaja man utd na mshahara mkubwa, matatizo aliyoyaleta, ndiyo haya, kila mchezaji wa man utd anataka kuboreshewa mpunga. Acheni kututajia hao sanchez na mwenzake lukaku, hawana tija kwa man utd, ole was right. Tuwe wavumilivu.
 
Mourinho alikuwa na timu strong kulikuwa OGS
De Gea
Rojo
Blind
Bailly
Carrick
Mikhtaryan
Rooney
Pogba
Zlatan
Hawa ni watu waliokomaa sana usingetegemea kuona ushenzi ushenzi kama wa sasa. Hata sasa hivi akipatikana mchezaji mmoja mkongwe mwenye mafanikio makubwa hao vijana watabadilika.Juan Mata ana mafanikio lakini hana leadership personality na ushawishi wa kutosha kwenye timu.
 
hata kumuamini scot kwenye kiungo ni kosa kubwa dogo ni wakawaida sana hata scotland alikuwa anaazia nje sahv ndo kaanza kupewa nafasi baada ya kupewa namba ya uhuakika na man united
 
Kocha apewe muda... klopp imemchukua misimu mitano kuwa hapa walipo... kocha wa spurs msimu wake wa saba huu nothing ole aachwe ajenge TEAM.. apewe muda
apewe muda kama anahesabu yeye alikuwa hajui kama kwenye kuingo atabaki na scot,fred,matic na pogba,hakujua mastriker atabaki na rashford,martial na greenwood ? na amembakiza young kwenye timu wakazi gani ? hajui anachofanya...
 
Ishu sio kumuuza Lukaku..ishu ni je alimuuza ili awape nafasi Martial na Rashford??..Kwanini hakuingia sokoni kutafuta straika mzuri??..
 
hata kumuamini scot kwenye kiungo ni kosa kubwa dogo ni wakawaida sana hata scotland alikuwa anaazia nje sahv ndo kaanza kupewa nafasi baada ya kupewa namba ya uhuakika na man united
Hivi kwanza best position ya huyu dogo ni ipi??..DM au AM??..Maana akisogea mbele hakuna na kutisha anachokionyesha..Ana spirit ndio,,ila quality badobado,huyu ni wakutokea benchi kama ulivyosema
 
KWA TAARIFA YENU:- OLE hatimuliwi makubaliano ni kwamba dirisha dogo january anasajili mastriker 2 na winga 1 na ahakikishe timu inamaliza top 4.

January tayari tutakuwa tumechelewa,championship itakuwa inanukia sana.
Kwanza utapata wapi mchezaji mzuri kipindi cha january aje kuiimarisha man utd?
Nilidhani Waafrika peke yetu ndio hatuna uwezo wa kuona mambo kwa mtizamo wa mbali sana,Ole kanifungua macho.
 
Scot anatusaidia sana vinginevyo tungekuwa tunafungwa nyingi sana
timu ina wachezaji wanaostahili kubaki wachache sana kwa mimi wakuanza ni degea,wan bissaka,maguire na pogba na yuleyule zeruzeru scot ni wakuanzia benchi walobaki wote wameoza.....
 
Scot ni defence midfielder hilo jukumu la attacking midfield anaebebeshwa tu kumuaccomodate Fred ambaye mlikuwa mnamlilia aanze
Hivi kwanza best position ya huyu dogo ni ipi??..DM au AM??..Maana akisogea mbele hakuna na kutisha anachokionyesha..Ana spirit ndio,,ila quality badobado,huyu ni wakutokea benchi kama ulivyosema
 
Shida ninayoiona mimi, ni glazer na huyo ed basi. Ole alivyokuwa anafanyiwa na ed kwenye dirisha la usajili, mmesahau? Hamuwezi kumpa lawama kiasi hicho.
 
kocha hana akili tu ko alivyo muuza lukaku na sanchez hakujua kuwa kama timu inatakiwa iwe na mastraika angalau watatu alijua wakina matial ni vyuma kwamba hawawezi kuumia ndomana naonaga guadiola anaakili saana anatimu mbili ambazo zoote tukicheza nazo lazima tufungwe viungo tu wapo wakutosha ani KDB,GUNDOGAN ndo alimnunua na magongo kabsa,d.silva nk.woote ni wazuri
 
Kudadeki nani atakubali kubaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…