Haya mapato ni kutokana hasa na msimamo wa EPL msimu ulioisha ,

Kiujumla kwenye mauzo, mikataba ya wadhamini ,bado kama sijakosea Man u ipo 3 bora .

Ila ikiendelea kuboronga , mikataba ile minono kama ya Adidas ndio itapungua na kushusha mapato.
 
Ni Mapato ya TV in all competition yasioendana na Msimamo wa EPL that's why Liverpool yupo juu ya Man City kimapato ingawa Man City kamaliza ligi akiwa juu ya Liverpool
 
Ni Mapato ya TV in all competition yasioendana na Msimamo wa EPL that's why Liverpool yupo juu ya Man City kimapato ingawa Man City kamaliza ligi akiwa juu ya Liverpool
Yah ni kutokana na Liverpool alioneshwa Mara 3 zaid ya city , hii huwa inatokea pia hata ule msimu mou alipokuwa wa pili dhid ya city ,man u alimzidi mapato,

Pia kila nafas moja inakaribu £1.9m
 
Duh huyu Lukaku huku Manchester United alikuwa anafanya kusudi jamani hii speed aliyekimbia kufunga ili goli mhh
 
Kungewa na stats za kuonesha ni mchezaji gani anaongoza kwa kuanguka anguka pindi anapokabiliwa na mkabaji basi paulo angeongoza
 
Duh huyu Lukaku huku Manchester United alikuwa anafanya kusudi jamani hii speed aliyekimbia kufunga ili goli mhh

Katika wachezaj waliokuwa wana spid lukaku alikuwepo

Kilichomponza ni ujeur hana tofaut na pogba na sasa matic hao wakuondolewa ni virusi

Tunataka mchezaj awe kama alivyokuwa DARMIAN kwa sasa yupo ROJO NA SERGIO ROMERO hawa sio lopolopo msimu ujao matic hatunae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…