Wanasema hela ipo lakini anatafutwa mchezaji sahihitukomae na fred tu, akipiga tizi la kutosha atakua hakamatiki, huku tunampa nafasi kidogo kidogo Garner
Kumuondoa Sanchez na kuwa tayari ku subsdise mshahara wake ni ushamba mwingine wanataka kufanya UnitedMan Utd wapo tayari kulipa huo mshahara aondoke, lakini bado hataki hivyo sio sababu ya hela tu, maybe Jamaa bado anataka kuprove yeye Ni elite player?
Yah kwa mfumo ulivyobadilika pengine na yeye akabadilika.
Binafsi naamini pia akipewa nafasi msimu huu kuna kitu ataprove.
Kwa wale wanaombeza Rashford Kuna stats muhimu Hapa.
View attachment 1182097
Toka Rashford aanze kucheza Man UTD, Hakuna mchezaji yoyote epl mwenye magoli mengi against top 6 teams Kushinda yeye.
Mo Salah ana misimu miwili hivyo sio fair kucompare na Rash, mwenye misimu 3 na kidogo.Mkuu Rashford amemzidi mpaka Mo Salah?
Mkuu kuna stats nyengine kama hizi huwa ni useless! Coz kuna Yule dogo wa Man City Gabriel Jesus kwenye Big games huwa Mzururaji, Lakini akikutana na Vibonde huvichakaza kwelikweli.
Ndiyo ikagundulika kuwa Wafunge Sana Vibonde kuliko Top 6 ili update mafanikio.
Huyo Maguire alikuwa Leicester city nc ilibeba ndoo ya EPL akiongoza safu ya Ulinzi..
MAGUIRE Aliiongoza Leicester city kubeba EPL ,EPL ya Nachingwea au ya Buguruni.Huyo Maguire alikuwa Leicester city nc ilibeba ndoo ya EPL akiongoza safu ya Ulinzi.. Wewe na wachezaji wako viberenge mliambulia nafasi ya ngapi ?? ...
Huyo unaesema ni mzito ndio alikuwa Man of the Match ... Sasa wewe RAIA unaeishi Maramba mawili unapata wapi ujasiri wa kusema unachokisema ... Endeleeni kupiga ramli .. Ushindi wa Pre season mlisema ni preseason , .. Chelsea kauliwa 4-0 mmeanza kuja na story za Maguire Simbilisi wewe...
Tulieni hivyo hivyo dawa iingie vizuri ...
Casper schmichelNimejisikia aibu kusoma hii comments
Ni lini Maguire aliingoza Leicester city kuchukua ubingwa?
Raha mpira ni kuongea ukweli
Mimi niliangalia mechi zote za Leicester 2015/2016 kuanzia December
Sikuwahi kuona kikosi cha Leicester kina beki anaitwa Maguire
Nakumbuka vipande viwili vya watu HUTH na MORGAN pale nyuma
Casper schmichelNimejisikia aibu kusoma hii comments
Ni lini Maguire aliingoza Leicester city kuchukua ubingwa?
Raha mpira ni kuongea ukweli
Mimi niliangalia mechi zote za Leicester 2015/2016 kuanzia December
Sikuwahi kuona kikosi cha Leicester kina beki anaitwa Maguire
Nakumbuka vipande viwili vya watu HUTH na MORGAN pale nyuma
Imetajwa kuwa
United hawakumsaini Bruno Fernandes sababu ya takwimu zake zisizoridhisha za utoaji pass (success rate ya pass zake ni 75%,Pogba 82% na De Bruyne ni 80% kwa msimu uliopita)
Pia scouts wameshauri kuwa anapoteza mipira sana hivyo asisajiliwe
Casper schmichel
Simpson
Wess Morgan
Christian Fuchs
Robert Huth
Ng'olo Kante
Dany Drinkwater
Ben Chilewell
Riadh Mahrez
Shinji Okazaki
Leornado ulloa
Jimmy Vardy
Demaray Gray
Squad ya Leicester ilikuwa moto sana hii. Huyo Fuchs na Wes Morgan na Robert Huth walikuwa tayari kufa ila striker asifunge goliHalafu huo msimu yule top scorer wao kevin nugent alisepa.....jamaa kafunga sana championship kuja ligi kuu kawa kilaza
Huyo jamaa anatabia za kishenzi sana humu anataka anachokisema yeye wengine waitikie ndiyo kama anaamrisha demu wakeMAGUIRE Aliiongoza Leicester city kubeba EPL ,EPL ya Nachingwea au ya Buguruni.
Acha porojo
Ya mavi auChukua ndoo hiyo mkuu
naona hasira za PSV umezihamishia kwa jamaa bro..,Ya mavi au
Wewe Ng'ombe acha kuniita Mimi mshenzi, imbecile wewe... Nimetoa angalizo kwa nilichoandika umeishia kuvamia usichokijua taahira wewe ..Huyo jamaa anatabia za kishenzi sana humu anataka anachokisema yeye wengine waitikie ndiyo kama anaamrisha demu wake
Sorry, Mbugila ina maana ganiWewe Ng'ombe acha kuniita Mimi mshenzi, imbecile wewe... Nimetoa angalizo kwa nilichoandika umeishia kuvamia usichokijua taahira wewe ..
Uzuri wangu ni kwamba ukija kijinga jinga na Mimi nakuja kijinga jinga ..That's my principle .. Sasa nakusubiri uje kilofa unijibu kama unavyomjibu house girl wenu nikumalizie akiba ya makombora ambayo huwa nayanyunyiza kwa mataahira kama wewe ambao mmekimbia Dozi za milembe..
Mbugila wewe.
😁😁😁Mkuu turudi jukwaa letu kule..humu utaskia tu "midfield" inasumbua, Pogba anatakiwa aache utoto, Bruno angekuja, Rashford bado sana nknaona hasira za PSV umezihamishia kwa jamaa bro..,