Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mbona unakata tamaa bila hoja mkuu?? Mechi moja, nayo si kwamba kiungo imepwaya kiivyo na pengine ilikuwa game approach, una-argue as if tumefungwa goli 10?

Wenzetu wanaenda kwa vigezo vinavyopimika wanapofanya tathimini, hawaangalii tuu kwa macho. Jana kuna mdau kashusha data za Tominay hapa, sasa wewe una-argue kwa vigezo vp.
 
Mkuu Joao Felix ni namba 10 na si kiungo

Unamletaje pale wakati unataka Angel Gomes (japo bado hajafika kiwango chake) acheze

Pia kwa umri wa Joao ambaye ni under 20 ni risk kumleta, halafu utegemezi wote ukauweka kwake,aki flop ndio basi tena

United waliboronga sana kuacha kumsajili Bruno Fernandez, kwa kweli hadi leo sijajua hata ni sababu gani iliyosababisha wasimnunue kwanza yeye mwenyewe alikuwa anataka kuondoka, pili bei yake haikuvuka hata £65 million. Unampata wapi kiungo wa kufunga magoli 29 na assist za kutosha?
 
Huyo Maguire alikuwa Leicester city nc ilibeba ndoo ya EPL akiongoza safu ya Ulinzi.. Wewe na wachezaji wako viberenge mliambulia nafasi ya ngapi ?? ...



Huyo unaesema ni mzito ndio alikuwa Man of the Match ... Sasa wewe RAIA unaeishi Maramba mawili unapata wapi ujasiri wa kusema unachokisema ... Endeleeni kupiga ramli .. Ushindi wa Pre season mlisema ni preseason , .. Chelsea kauliwa 4-0 mmeanza kuja na story za Maguire Simbilisi wewe...




Tulieni hivyo hivyo dawa iingie vizuri ...
 
Shetani , mchawi , mzandiki , ibilisi, Joka kuu, mlozi , WEWE



Hebu kawange kwenye nyuzi za Mshana ..
 
Hahaha Daud baadhi ya uandishi wako unanifurahisha sana(kubwa kuliko ni ile kampeni ya kumtoa Maurinho).
 
Hey.

It's a plain fact mzigo wa kiungo upo chini ya pogba.

Msimu uliopita tulizingua kwa kuwa na timu mbovu kila kona.

Wachezaji muhimu wameondoka hakuna replacement.

Deadwoods na wagonjwa wamejaa kwenye timu hakuna action yeyote.

EPL ni Marathon League. Kuwafunga Chelsea isitupe kiburi kwamba timu imekamilika.

Msimu ulioisha kwenye mechi 7 za mwanzo tulishinda mechi 4 kwa goli 4 - 0.

Mwisho wa msimu unajua tumeishia nafasi ya ngapi.
 
Excuses zinakuja muda si mrefu.
 
Nakubaliana na wewe... tulitakiwa kupata viungo wawili wa maana... kiungo mkabaji kama Partey na kiungo mshambuliaji kama Bruno..... timu kwasasa bado haijabalance..

Ila tusubiri Ole anaweza kua na mipango yake na timu ikazid kua vizur
 
Uko sawa mkuu... timu yetu haiko vzr kwenye kiungo na ushambuliaji.
Angalau kidogo kwenye ulinzi kuna afya lakini Unapopwaya kwenye kiungo ukategea beki wafute makosa yao kwa game labda 20 ni UONGO.
Kikubwa OLE anajua timu yake itapataje matokeo kulingana na target yake,. kufikia Dcember dirisha dogo la usajili.
Kwa sasa wachezaji wacheze MAPAFU YA MBWA kama BUNLEY wajitoe haswa huku tukiwategemea NYOTA WETU kama POGBA, RASH, MARTIAL, HM5 na GEA Waibebe timu.
 
Muda utatuambia.
 
Nakusahihisha Maguire kaja juz hapo Leicester
 
Nmekubali tumepigwa lakini hii Man united sio timu ya kutegemea kuleta ushindani msimu huu ..mtaenda hivi baada ya mechi saba tutakuja kuongea tena..
Ha ha ha unachekesha sana. Yaani waliofungwa Chelsea halafu unawafanyia tathmini Man U. Hii kwa upande mwingine unamaanisha Chelsea ni katimu kadogo sana kulinganisha na Man U.
 
Refa kawabeba sana hongereni kwa ushindi wenu wa kwanza ..

Magwaya na Bissaka bado hawaja improve chochote, ni gemu tu ilikuwa upande wenu..

#TukutaneDarajani
Liverpool wanaenda kutonesha vidonda leo, nasubiri kusikia kelele za maumivu makali sana.
😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…