Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu kesho tunashinda goli nyingi sana ..tunahalalisha kabisa msimu ujao man u kwenda Europa.

Mkajenge timu uko Europa maana mkienda ivi ivi na hili genge mlilonalo mtaenda kutia aibu tu kama juzi dhid ya Barca. Hivyo mimi nawashauri mkubali tuwabamize ili mkajiandae vizuri msimu ujao...
 
Mkuu kwenye his gemu zilizobaki tuna uhakika wa point maximum point 7 ..min point 5 mkuu..

Hizo ni pie lazima tuziteke...

Kesho mkuu natangaza msiba maeneo Haya. Kwako msimu huu nazuia point nne!!
Tatizo ni kwamba hutakuwepo kutangaza huo msiba Mkuu, utakuwa huko kusikojulikana ...... Umejiteka
 
Tatizo ni kwamba hutakuwepo kutangaza huo msiba Mkuu, utakuwa huko kusikojulikana ...... Umejiteka
Wewe bwana wewe unamuona Radika humu siku hizi sasa bado wewe mtalikimbia hili jukwaa wenyewe
 
Race for Top 4, Next EPL fixtures

Man Utd vs Chelsea
Huddersfield vs Man Utd
Man Utd vs Cardiff

Man Utd vs Chelsea
Chelsea vs Watford
Leicester vs Chelsea

Leicester vs Arsenal
Arsenal vs Brighton
Burnley vs Arsenal
Haka ka fixture kama kana tubeba hivi kwa mbaaali,ila endapo kesho tutamshona chelsea
 

Liverpool ana mataji 18??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…