Hata mechi ya PSG first leg alipotezwaPogba anahitaji viungo kadhaa kumlinda wakat na yeye ni kiungo ana mchango wake mkubwa tu ila ule u slow hapo pana shida akikutana na viungo korofi kama wa wolves humuoni
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hata mechi ya PSG first leg alipotezwa
Mechi ya Southampton mzunguko wa kwanza alipotezwa
Ana goli nyingi kweli msimu huu, je za penati ni ngapi kati ya hizo? Je amekosa penati ngapi?4 kama sikosei
Lakini mimi sina tatizo sana na uwezo wake, nina tatizo la ubinafsi, kujiona na kutoiheshimu badge ya United...... Club yenye mashabiki wengi duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Harrera sio kiungo mkabaji mkuu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Herrera kipindi chote cha Mourinho na Ole ni kiungo mkabaji..mkuu unataka kusema nafasi yake ni ipi??
Ki asili mkuu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ole kawa Manager,,Nitashangaa sana kama hatatafuta mchezaji wa winga ya kulia wa kuaminika
There you go man..watu wanachuki tu na Pogba..ishu ya yeye kuongelea Madrid haiko sawa lakini sio big deal..Ukweli ni kwamba Pogba ana mazuri yake na Madhaifu yake kama mchezaji mwingine yoyote sasa kama unataka kumjudge mchezaji lazima uangalie kipi ni zaidi mazuri ama mabaya? Ukiangalia mchango wa Pogba kwenye timu ni mkubwa sana kiasi kwamba hzo sababu mnazotoa za kufanya auzwe zinakuwa hazileti mantiki,na lazima pia uangalie akiondoka je utaweza kuziba pengo lake? wachezaji wazuri siku hizi ni bei ndefu kinoma na unaweza msajili kwa bei ndefu na kumpa mkataba mrefu na bado akaja kuzingua vile vile mfano mzuri tumeona Sanchez.
Hilo swala la uvivu sijui hajitumi, sijui linatokea wapi aisee labda mjaribu kulifafanua vizuri, mtu ana BAO 14 na assist 10 hapo bdo hujaesabu machance kibao ambayo anatengeneza watu wanazingua kufunga, hivi angekuwa hajitumi na mvivu hizo namba zingetokea wapi??kwa namba hzo tayari ameshawafunika wachezaji wakubwa wengi tu ulaya,hilo swala la altitude yake kuhusu UTD mi nilipoona kakosea na kukosa heshima ni kwenda kuongea kwenye media ndoto zake basi lakn sijaona kingine chochote kikubwa cha kuashiria labda haipendi UTD or hayupo commited.
absolutely yeahOle is at the wheal .... We gonna support him, till he is no more our managerView attachment 1056045
Sent using Jamii Forums mobile app
Update :Bayern complete signing of Lucas Hernandez from Altelico Madrid
Nyongeza , Lucas hernandez anaweza kucheza Center back.nilikuwa namsoma mtu mgumu lothar matthaus anasema kipigo walichokipata kutoka kwa liverpool kimewafanya bayern wafikirie upya kufanya uwekezaji ndani ya uwanja.
- kuna uwezekano joshua kimmich atampisha benjamin parvard na yeye acheze eneo la kiungo.
- pi upo uwezekano benjamin parvard kucheza mlinzi wa kati pamoja na sule kimeo, boateng kimeo au matt hummels kimeo
- hernandez atamuondoa david alaba upande wa kushoto.
- upo uwezekano pia wa david alaba kurudi sehemu ya kiungo.
- mwisho upo uwezekano wa david alaba kuondoka bayern munich.
- sidhani kama bayern watawaachia liverpool wamchukue werner.
- sidhani kama bayern wataregeza nguvu kwenye harakati zao za kumtafuta odoi
robben, ribery, muller, boateng hao wote walishaanza kuonyesha dalili ya kuchoka zaidi ya miaka miwili iliopita, carlo ancelotti walishindwa kumuelewa mapema.
thanks nilikuwa sifahamu.Nyongeza , Lucas hernandez anaweza kucheza Center back.
Halafu nimeona wanamtaka pia Matthijs de ligt
Sent using simu mbovu
UMtiti ataenda utdthanks nilikuwa sifahamu.
kuhusu Matthijs de ligt watapata upinzani kutoka kwa barcelona kwa sababu gerard pique umri wake ni mkubwa halafu mustakabali wa samuel umtiti haujajulikana.
"So many players or agents have been in touch saying they want to come here"
Ole Gunnar Solskjær on his summer plans for #MUFC.
Watch live on Sky Sports News or follow here: skysports.tv/ls9PWs
Sent from my iPhone using Tapatalk
Tumeshashuhudia dirisha moja tayari likipita na huyo kocha wenu akisema anafuraha na kikosi alichonacho.cha muhimu ni kuomba uhai tupate tushuhudie dirisha la usajili.
- inawezekana OGS bado hajamfahamu vizuri Ed Woodward.
- inawezekana Ed Woodward ameamua kubadilika.
Tumeshashuhudia dirisha moja tayari likipita na huyo kocha wenu akisema anafuraha na kikosi alichonacho.
Don't expect anything new other than Phil jones and Rashbeck to sign their new contracts.