ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Romero ni bonge la kipa,de gea akienda madrid inabid na wao watupe isco au verane na mpunga juuYani huyo dogo amtoe romero you must be joking to me romero na de gea hawapishani sema tu romero hachezi daily
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise mbona unaandika matapishi?Romero ni bonge la kipa,de gea akienda madrid inabid na wao watupe isco au verane na mpunga juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini ni matapishi?
Wewe ndo unaandika uozo ulioayukaga eti Kepa ni kipa bora zaidi ya de Gea no wonder hujui unaandika nini.... jamaa hajakosea de Gea ukizingatia uwezo wake ni goalie wa 100+ huko and anything is possible mkuu usimhukumu jamaa
Pogba ni kirusi yule. Nimefatlia habar zake zinazovuma saiv kweny media, ni kirus kimoja kibaya sana. Kirus kile kitoke kabsa
Kwanini?
Amefanyaje?Pogba ni kirusi yule. Nimefatlia habar zake zinazovuma saiv kweny media, ni kirus kimoja kibaya sana. Kirus kile kitoke kabsa
De Gea haingii hata nusu kwa Kepa afu mnataka akienda Madirid mpewe na Isco na pesa!! Acheni utani nyie..Kwanini ni matapishi?
Sasa De Gea anaeza mueka benchi Kepa kweli? Kepa kwa umri wake ameprove kwamba yeye ni mara kumi ya uyo De Gea na anastahili namba moja national timu..Wewe ndo unaandika uozo ulioayukaga eti Kepa ni kipa bora zaidi ya de Gea no wonder hujui unaandika nini.... jamaa hajakosea de Gea ukizingatia uwezo wake ni goalie wa 100+ huko and anything is possible mkuu usimhukumu jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeanza yaleyale ya mou
Sasa De Gea anaeza mueka benchi Kepa kweli? Kepa kwa umri wake ameprove kwamba yeye ni mara kumi ya uyo De Gea na anastahili namba moja national timu..
Akitoka Oblack..
Ni Allison..
Kepa..
Leno..
De Gea..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeishia kucheka.Kepa amzidi De Gea?Basi nzi anaweza kutengeneza asali...De Gea haingii hata nusu kwa Kepa afu mnataka akienda Madirid mpewe na Isco na pesa!! Acheni utani nyie..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila mkuu wewe pamoja na ushabiki kuna muda unaongeaga utumbo sana.