Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chelsea na man u ? Nani anamuhitaji muo?
Chelsea ndio mnatabia ya kumrudisha rudisha mou..
Alishaivuruga man u.. ametimuluwa timu ikawa stable. Wkt alipikuwepo.. chelsea mliicha man u point 16.
Baada ya kuondoka.. man u kakupita.. na mnagombania top 4 wote.
Halaf unawaambia man u wamlete mtu alizamisha jahazi.. pole kaka.
Man u si wajinga
Mrudisheni Mourihno haraka.

Mtamaliza ligi chini ya Chelsea..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Correction. Ronaldo hakuuzwa bali alitaka kuondoka mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
11 April: Man. Utd vs Barca
13 April: Man. Utd vs West Ham Utd
17 April: Barca vs Man. Utd
21 April: Everton vs Man. Utd
25 April: Man. City vs Man. Utd
28 April: Man. Utd vs Chelsea


Man Utd Funeral Programme


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mlisema hivi hivi sijui kwanini mnasahau sana.

1.Liverpool
2. PSG
.........
 
Kuna game ya united na newcastle inaonyeshwa MUTV muda huu ya mwaka 2003,wakat huo newcastle ina watu balaa shearer,solano,jenas,woodgate,given,bramble
 
Man city wanataka kumsahili Saul Niguez msimu ujao..Pep anataka sana achukue UCL pale city na jamaa wanampa watu
 
Uefa ina timu zake
Remember bayern katoka kapa wakaishia kumtimua

Sent using Jamii Forums mobile app

Timu yeyote ikiwa vzr inachukua...bayern sera yao ya usajili ipo tight sana hawapo flexible kama man city,madrid au psg ndio maana mpk leo unaona wanawatumia kuna robben,ribbery,muller.

Lakini pep kaja city kapewa uhuru wa kuifumua timu kaunda na wachezaji anaowataka yeye leo hii coty ni timu nzuri na tishio zaidi ya bayern
 
Mi shabiki wa man utd kiukweli ana mechi ngumu hapo hata kushinda ni kwa mbinde,,,,wachezaji wenyew wanachoka mnooo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani huyo dogo amtoe romero you must be joking to me romero na de gea hawapishani sema tu romero hachezi daily

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…