Naona kama Ole kesho ataanza na Jones..nahisihisi hivyo..but lets wait

United Fan
yule bwege aliyesema maisha yetu tunayoishi kila siku hayana tofauti na gwaride hakukosea hata kidogo.
Yule fala aliyesema maisha yetu hayana tofauti na mbio za vijiti pia hakukosea hata kidogo, nimebaki najiuliza kwa nini watu hawa wawili hawakupewa tunzo ya nobel?

leo hii victor lindeloff amekuwa baba mwenye nyumba after david de gea.
endeleeni kupanga vikosi vyenu lakini huyu jamaa pichani awepo kwa lazima kwa sababu ndiye aliyeshikilia ufunguo wa maana halisi ya maisha.

Life is a race, if you don't run fast you'll get trampled
 
Mechi itakuwa ngum bado kwa pande zote mbili lakn nauona ushindi wa magoli 2+ ukienda ot tukipata na cleansheet itapendeza zaid all in all mkuu umenena vizur sana ndio game za kuwaonyesha ukubwa wetu hawa mabishoo wa paris

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona press conference ya leo, OLE kaenda na kijana wake Martial.
Ilikua poa martial ana aibu kinoma,sababu kubwa ni kwakua nusu ya reporters wanaongea kifaransa kwaiyo jamaa alikua kama translator pia.
Nilipenda alivyojibu if players wanataka solskjaer awe kocha after this season

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lingard anaanza..Sanchez hajaonyesha sababu yoyote ya yeye kuanza game hii TBH...ila pia Lingard sio kwamba ni best kihivyo,ila muunganiko wao kule mbele umeonyesha kitu kwenye mechi nyingi chini ya OGS

Martial Rashford Lingard ..hii lineup mimi ndo naona ni ya kwanza kwenye kichwa cha OGS

My Lineup

De Gea

Young Bailly Lindelof Shaw

Herrera Matic Pogba

Lingard Rashford Martial


Possible lineups.....sema cjajua hii mechi kama inamfaa sana mtu kama SanchezView attachment 1020455

United Fan
 
Sema kuvuta 4 world class ni ngumu kidogo, lazima ubugi kiduchu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu. Hicho nilichotaja ni mahitaji lakini inaweza isiwe uhalisia kwa 100%

Lakini tukipata hata world class wawili, yaani beki wa kati na winger especially left footed na tupate wawili (talents bora) kwenye nafasi nyingine kama full back na central midfielder itatusaidia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kweli kabsa sema ma winger world class siku hizi kuwapata ni ishu aisee, wengi bado watoto, nilisikia Douglas Costa anataka asepe Juve sasa sijui kama ni kweli ila naona kama tukimpata mtu kama yule tutatisha...maana ukiangalia UTD mashambulizi yetu mengi yanatokea upande wa Martial (kushoto) sasa akija Costa tutakuwa tunashambulia pande zote mbili vzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…