Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Time inaenda kinoma..nimelala tu nimeamka muda wa kikosi kutoka..GGMU

Kuna watu wanamzungumzia Fred..mimi nachoweza kusema jamaa anahitaji muda na support maana naona ana kitu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sanchez akicheza timu itakaa nyuma sana .ila wakianza wale watoto pale mbele basi timu itakua inakua mbele muda mwingi na vyanzo vingi vinaonesha wataanza kwaio sioni sehemu spurs akitoka leo
Sanchez amecheza mechi ngapi chini ya Solskjaer mpaka useme hivyo mkuu?
 
Tottenham XI: Lloris (C), Trippier, Alderweireld, Vertonghen, Davies, Winks, Sissoko, Eriksen, Dele, Son, Kane.

Subs: F.Llorente, D. Rose, Lamela, Gazzaniga, D. Sánchez, J.Foyth, Oliver Skipp

Man Utd XI: De Gea, Young, Jones, Lindelof, Shaw, Matic, Herrera, Lingard, Pogba, Martial, Rashford.

Subs: S. Romero, J.Mata, R. Lukaku, Fred, A.Pereira, Diogo Dalot, S. McTominay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…